Namtafuta Fransiscar John

Domhome

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
3,197
3,930
Huyu dada tulipata kusoma naye, Ukwamani Shule ya Msingi huko Gairo.

Baadaye yeye alijiunga na Kilakala Girls nami nikaenda Tanga Tech School.

Wakati tukiwa Shule enzi hizo alikuwa anatumia anuani yenye S.L.P 70 Kimamba.​

Kama kuna yeyote humu jamvini ana habari zake anijuze tafadhali!! au iwapo kuna member humu anaweza niunganisha na jamaa yeyote wa Kimamba, Kilosa nitashukuru sana
 
huyu dada tulipata kusoma naye, ukwamani shule ya msingi huko gairo.

Baadaye yeye alijiunga na kilakala girls nami nikaenda tanga tech school.

Wakati tukiwa shule enzi hizo alikuwa anatumia anuani yenye s.l.p 70 kimamba.​

kama kuna yeyote humu jamvini ana habari zake anijuze tafadhali!! Au iwapo kuna member humu anaweza niunganisha na jamaa yeyote wa kimamba, kilosa nitashukuru sana
wake za watu wawatafutia nini???? Ngoja nimweleze mumewe kuwa kuna njemba inataka kukumbushia na mkeo
 
Franscisca John mimi namfahamu toka wakati akiwa kilakala secondary. ila sasa sijui yupo wapi. kama ukimpata naomba unijulishe na mimi
 
Franscisca John mimi namfahamu toka wakati akiwa kilakala secondary. ila sasa sijui yupo wapi. kama ukimpata naomba unijulishe na mimi

Uckonde mkuu nikimpata nitakujulisha. Ila hadi sasa cheche!
 
FRANSISCA JOHN AlIESOMA KILAKALA YUKO KWANGU NI MKE WANGU ANANISUBIRI NIRUDI TUKADOOO TUU,NYIE MNAMTAKIA NINI?ANANIPIKIA NA KUNIOGESHA NYIE WA NINI MUMKOME MKE WANGU BIASHARA ZENU ZA BABA NA MAMA NA KOMBOLELA MSAHAU SHHHHHHHHHHHHHHHHHIIIIIIT
 
Duh! Hilo sanduku la Posta alikuwa alikuwa akitumia mshaikaji wangu mmoja Swahibu Mizungumti, yawezekana walikuwa ndugu au ndo C/o.
 
FRANSISCA JOHN AlIESOMA KILAKALA YUKO KWANGU NI MKE WANGU ANANISUBIRI NIRUDI TUKADOOO TUU,NYIE MNAMTAKIA NINI?ANANIPIKIA NA KUNIOGESHA NYIE WA NINI MUMKOME MKE WANGU BIASHARA ZENU ZA BABA NA MAMA NA KOMBOLELA MSAHAU SHHHHHHHHHHHHHHHHHIIIIIIT

Haya sasa keshapatikana, mtafute huku huku aliko.
 
Ameolewa na Jamaa anafanya kazi BOT anakaa kwnye flat za BOT sinza. Nitakutafutia contact zake.
 
FRANSISCA JOHN AlIESOMA KILAKALA YUKO KWANGU NI MKE WANGU ANANISUBIRI NIRUDI TUKADOOO TUU,NYIE MNAMTAKIA NINI?ANANIPIKIA NA KUNIOGESHA NYIE WA NINI MUMKOME MKE WANGU BIASHARA ZENU ZA BABA NA MAMA NA KOMBOLELA MSAHAU SHHHHHHHHHHHHHHHHHIIIIIIT

Vp we manager wa aina gani? nimeona kwenye jukwaa la kazi na ajira unadai HIMO ONE kakutafutia ajira ambayo unaanza tar. 2 January 2011 ( Siku ya Jumapili)
 
Jamani msaidieni Mwenzenu, pengine kuna kitu alisahau kwa huyu dada!!! Tofauti na hapo sijui anamtafutia nini maana kwa sasa pengine atakuwa alishaolewa!! Au mleta hoja aweke wazi ni miaka ipi walikuwa Gairo hadi walipoachana na kujiunga Kilakala.
 
hamna sehemu nzuri kuondolea stress kama JF

avatar13443_6.gif

Umenichekesha sana nafahamu movie yake inaitwa Umofia in London huyu jamaa ni mcheshi mtata sana
 
FRANSISCA JOHN AlIESOMA KILAKALA YUKO KWANGU NI MKE WANGU ANANISUBIRI NIRUDI TUKADOOO TUU,NYIE MNAMTAKIA NINI?ANANIPIKIA NA KUNIOGESHA NYIE WA NINI MUMKOME MKE WANGU BIASHARA ZENU ZA BABA NA MAMA NA KOMBOLELA MSAHAU SHHHHHHHHHHHHHHHHHIIIIIIT

Mkuu punguza jazba basi!! Huyo ni Mate wangu nawe ni MKEO usijali sana nilitaka nijue tu kwasasa yuko wapi na anafanya nini?

Anyway Je, mwanao GASPER hajambo????
 
Vp we manager wa aina gani? nimeona kwenye jukwaa la kazi na ajira unadai HIMO ONE kakutafutia ajira ambayo unaanza tar. 2 January 2011 ( Siku ya Jumapili)

HE WE WAPI WEYE?SaSA HII INAHUUUUUUUUUUUUUUU?????????ACHA USHAMBA KAZI YANGU HAIKUHUSU AU UNASAKA MUME??
 
Back
Top Bottom