Namtafuta Daudi kusekwa wangu

Namtafuta Daudi kusekwa wangu

Duh, mimi nina sifa karibu zote isipokuwa pombe siwezi acha kwa sharti la ndoa, hata nikemewe na Papa ulabu nitakunywa. Ready to remain Single for sake of Pombe
 
Kwa upande wangu huwa sioni mwanamke kuweka vigezo viiiingi. Wewe kikubwa omba Mungu tu upate mume bora siyo mara awe amejiajiri sijui mavituvitu gani!
Yann yote hayo? Mwanaume anaweza akawa na vyote hvo lakin bado asiwe mume bora wa kutunza familia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikitika sana kuwa hujapata hata like kwa point kubwa kama hii.
Unenena vyema

God save us
 
Kuna Daudi Kusekwa, msela mmoja ana kamwili kadogo kadogo, si mrefu, mweusi na amesoma/anasoma ualimu (sio bachelor) kama sikosei mikoa ya nyanda za juu kusini nadhani nilikutana naye ni mkoa wa Rukwa.

Mleta mada, vipi ndio huyo au!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom