Namtafuta Daudi kusekwa wangu

Namtafuta Daudi kusekwa wangu

Nmeshangaa umri less than 30 na ndoa ishavunjika
IMG_20190115_123329_535~2.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chukua mke na utapewa mtoto bure na utamwita jina lolote. Huyo kamrudia Mungu baada kuona hana mume na anapitia wakati mgumu na umri unazidi kwenda. Ukishaoa baada ya miezi kadhaa anakunjua makucha yake.
Yaaan unauziwa mbuz katika gunia lazima nitext mitambo aiseee kama inatoa shombo ya samaki,ina maji meng na mwanamke anajituma kwa bed.
 
Habari za jioni wapendwa wana jamii foramu
Naamini mu wazima
Mimi si mgeni jamii forum ni mfuatiliaji wa mada mbali mbali japo naingiaga Kama guest user, baada ya kusoma visa na mikasa mingi leo rasmi nimeamua kutengeneza akaunti kwa lengo moja tu la kutafuta mwenzi wa maisha kama second chance.

Kwa wale mlioowa na kuolewa na bado mkadumu katika ndoa Mungu awabariki na awazidishie upendo milele.
Niliolewa kabisaa lakini kuna mambo mazito hasa yalinikumba ndoa ikavunjika baada ya uwezekano wa kurekebishika ulipogonga mwamba.

Kwa muda wote niliokaa peke yangu nimetafakari kwa kina sana na kuamua kutafuta mwanaume ambaye anaweza kunipenda iili baadaye awe mume.

Sifa zangu
-Ni mdada naejituma, mcha Mungu na naejiheshimu
-Ni msomi na najiweza kiuchumi
-Umri wangu upo chini ya miaka 30
-Umri wa utoto na kurukaruka ulishapita, najielewa na najua nachokitaka.
-Nina mtoto mmoja

Sifa za mwanaume
-Awe Mkristo asiyetumia pombe
-Awe asiyependa anasa (sipo tayari kusex naye hadi hapo tutakapo weka kiapo)
-Mwenye uthubutu katika mambo ya maendeleo ( asiye amini sana masuala ya kuajiriwa zaidi sana awe na malengo ya kujiajiri mana matajiri wengi ni wale waliojiajiri)
-Mchapakazi mchapakazi mchapakazi
-Awe amekomaa kiakili, asiwe toz mvaa milegezo na ambaye bado anataka kurukaruka na vibinti
-mwenye upendo sana, kuheshimu na kujali utu.

Huyu namkaribisha tuwe marafiki wenye malengo

Sent using Jamii Forums mobile app
Umbo lako likoje? Je Una miguu ya bia na makalio makubwa?
 
WEWE NI AINA YA WANAWAKE AMBAO HUWA NAPENDA WAIJAZE DUNIA YETU.

SINA SHAKA ULIACHANA NA BABA MTOTO WAKO KWASABABU TU ULIAMUA KUTAFUTA UHURU WA MAISHA YAKO YENYE AMANI NA FURAHA.

SINA SHAKA KWAMBA HAKUA MTU SAHIHI KWAKO NAKWAMBA HATA YEYE MWENYEWE HAKUTOSHA MIZAN YAKO ALIPOJIPIMA.

NMEKUPENDA SABABU.
MCHA MUNGU( hata kama unweza kua umeongopa ila kitendo cha kumtaja Mungu kinatosha.)
UNAJIELEWA KWA UJUMLA LINAPOKUJA SUALA LA MAISHA .
UMEZAA LAKINI BADO UNAJIAMIN KIASI KWAMBA BADO UNAHITAJI MWANAUME ANAUEKUFAA NASIO TU KUTAFUTA MWANAUME KISA UMEZAA .

NIKUAMBIE...HUMU NDANI KUMEJAA WAPIGAJI. WATAFUTA UCHI NA WAAMBUKIZA UKIMWI WATU WENGINE..

HAWA WAKIJA UTAWATAMBUA KWA MANENO YAO ..UTASIKIA
Umezaa lkn unamashariti
Punguza masharit umeshazaa

Kwa ufupi ni MIJAUME ,MIJINGA MIJINGA, MIMALAYA, YENYE UKIMWI AMBAYO ITALAZIMISHA KUKUFANYA UJIONE "DHAIFU" ILI ULEGEZE, UWE NA HURUMA MWISHOOOOOOOO IKIPATA UCHI ISEPE.

NANYINYI MIJANAUME MIJINGA MIJINGA, MIMALAYA AMBAYO KWENU MPO KUUNGUZA WATU.
HUYU MWANAMKE MUMUACHANE, ITS BETTER KUTULIA TUUU NASIO KUMFATA NA KUZIDI KUMUHARIBIA .

MAMA TULIA. USIWE NA HOFU, UMRI BADO NAHATA UNGEKUA UMESONGA AMINI NAKUAMBIA KUNA WAKAT MUNGU ABAKUSUBIRISHA ILI AKUPE FURAHA YENYE KUDUMU NA AMBAYO ITAKUA YAKO DAIMA.
Umeongea vizuri ila naomba umiulize mtoa mada

uchamungu ameanza lini?

Na yeye ndie alimtenda huyo daud kusekwa ,iweje amuhitaji wakati mwenzie yuko kwenye ndoa?

Kwanini alivunja ndoa? Na alivunjia police.

Kama atajibu haya maswali basi atakuwa amebadilika
Kama hajajibu hamna kitu hapo kwahuyo Dada wa mwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza masharti, wanaume ni bidhaa hadimu,
Habari za jioni wapendwa wana jamii foramu
Naamini mu wazima
Mimi si mgeni jamii forum ni mfuatiliaji wa mada mbali mbali japo naingiaga Kama guest user, baada ya kusoma visa na mikasa mingi leo rasmi nimeamua kutengeneza akaunti kwa lengo moja tu la kutafuta mwenzi wa maisha kama second chance.

Kwa wale mlioowa na kuolewa na bado mkadumu katika ndoa Mungu awabariki na awazidishie upendo milele.
Niliolewa kabisaa lakini kuna mambo mazito hasa yalinikumba ndoa ikavunjika baada ya uwezekano wa kurekebishika ulipogonga mwamba.

Kwa muda wote niliokaa peke yangu nimetafakari kwa kina sana na kuamua kutafuta mwanaume ambaye anaweza kunipenda iili baadaye awe mume.

Sifa zangu
-Ni mdada naejituma, mcha Mungu na naejiheshimu
-Ni msomi na najiweza kiuchumi
-Umri wangu upo chini ya miaka 30
-Umri wa utoto na kurukaruka ulishapita, najielewa na najua nachokitaka.
-Nina mtoto mmoja

Sifa za mwanaume
-Awe Mkristo asiyetumia pombe
-Awe asiyependa anasa (sipo tayari kusex naye hadi hapo tutakapo weka kiapo)
-Mwenye uthubutu katika mambo ya maendeleo ( asiye amini sana masuala ya kuajiriwa zaidi sana awe na malengo ya kujiajiri mana matajiri wengi ni wale waliojiajiri)
-Mchapakazi mchapakazi mchapakazi
-Awe amekomaa kiakili, asiwe toz mvaa milegezo na ambaye bado anataka kurukaruka na vibinti
-mwenye upendo sana, kuheshimu na kujali utu.

Huyu namkaribisha tuwe marafiki wenye malengo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za jioni wapendwa wana jamii foramu
Naamini mu wazima
Mimi si mgeni jamii forum ni mfuatiliaji wa mada mbali mbali japo naingiaga Kama guest user, baada ya kusoma visa na mikasa mingi leo rasmi nimeamua kutengeneza akaunti kwa lengo moja tu la kutafuta mwenzi wa maisha kama second chance.

Kwa wale mlioowa na kuolewa na bado mkadumu katika ndoa Mungu awabariki na awazidishie upendo milele.
Niliolewa kabisaa lakini kuna mambo mazito hasa yalinikumba ndoa ikavunjika baada ya uwezekano wa kurekebishika ulipogonga mwamba.

Kwa muda wote niliokaa peke yangu nimetafakari kwa kina sana na kuamua kutafuta mwanaume ambaye anaweza kunipenda iili baadaye awe mume.

Sifa zangu
-Ni mdada naejituma, mcha Mungu na naejiheshimu
-Ni msomi na najiweza kiuchumi
-Umri wangu upo chini ya miaka 30
-Umri wa utoto na kurukaruka ulishapita, najielewa na najua nachokitaka.
-Nina mtoto mmoja

Sifa za mwanaume
-Awe Mkristo asiyetumia pombe
-Awe asiyependa anasa (sipo tayari kusex naye hadi hapo tutakapo weka kiapo)
-Mwenye uthubutu katika mambo ya maendeleo ( asiye amini sana masuala ya kuajiriwa zaidi sana awe na malengo ya kujiajiri mana matajiri wengi ni wale waliojiajiri)
-Mchapakazi mchapakazi mchapakazi
-Awe amekomaa kiakili, asiwe toz mvaa milegezo na ambaye bado anataka kurukaruka na vibinti
-mwenye upendo sana, kuheshimu na kujali utu.

Huyu namkaribisha tuwe marafiki wenye malengo

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana utampata Daudi, maana milima haikutani.
 
Tafsiri = Daudi Kusekwa ni lugha ikimaanisha Mwenzi wa Maisha kwa Lugha ya Kisukuma...

Daudi = Mwenzi
Ku sekwa = Wa maisha
 
Habari za jioni wapendwa wana jamii foramu
Naamini mu wazima
Mimi si mgeni jamii forum ni mfuatiliaji wa mada mbali mbali japo naingiaga Kama guest user, baada ya kusoma visa na mikasa mingi leo rasmi nimeamua kutengeneza akaunti kwa lengo moja tu la kutafuta mwenzi wa maisha kama second chance.

Kwa wale mlioowa na kuolewa na bado mkadumu katika ndoa Mungu awabariki na awazidishie upendo milele.
Niliolewa kabisaa lakini kuna mambo mazito hasa yalinikumba ndoa ikavunjika baada ya uwezekano wa kurekebishika ulipogonga mwamba.

Kwa muda wote niliokaa peke yangu nimetafakari kwa kina sana na kuamua kutafuta mwanaume ambaye anaweza kunipenda iili baadaye awe mume.

Sifa zangu
-Ni mdada naejituma, mcha Mungu na naejiheshimu
-Ni msomi na najiweza kiuchumi
-Umri wangu upo chini ya miaka 30
-Umri wa utoto na kurukaruka ulishapita, najielewa na najua nachokitaka.
-Nina mtoto mmoja

Sifa za mwanaume
-Awe Mkristo asiyetumia pombe
-Awe asiyependa anasa (sipo tayari kusex naye hadi hapo tutakapo weka kiapo)
-Mwenye uthubutu katika mambo ya maendeleo ( asiye amini sana masuala ya kuajiriwa zaidi sana awe na malengo ya kujiajiri mana matajiri wengi ni wale waliojiajiri)
-Mchapakazi mchapakazi mchapakazi
-Awe amekomaa kiakili, asiwe toz mvaa milegezo na ambaye bado anataka kurukaruka na vibinti
-mwenye upendo sana, kuheshimu na kujali utu.

Huyu namkaribisha tuwe marafiki wenye malengo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo una mtoto, panakutoa kwenye rada ya wengi.
With all due respect, Hivi amwanaume rijali atakayekuoa ni anakuja anzisha familia yake au anakuja kujiunga kwenye familia ya mwanaume mwenzake? Hii kwa wanaume ambao ni fresh kwa kuanza familia, ngumu sana kumeza ila kumpata jamaa ambaye alishazalisha mahali yaani ni "mume" wa mtu hapo itawezekana.
Ila usife moyo na haya maneno yangu, wanaume wapo wa kuendana na mahitaji yako.
 
Who is Daudi Kusekwa? Huyo msukuma ndo SI Unit ya mme bora or? Just curious.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom