Namtafuta Daudi kusekwa wangu

Namtafuta Daudi kusekwa wangu

WEWE NI AINA YA WANAWAKE AMBAO HUWA NAPENDA WAIJAZE DUNIA YETU.

SINA SHAKA ULIACHANA NA BABA MTOTO WAKO KWASABABU TU ULIAMUA KUTAFUTA UHURU WA MAISHA YAKO YENYE AMANI NA FURAHA.

SINA SHAKA KWAMBA HAKUA MTU SAHIHI KWAKO NAKWAMBA HATA YEYE MWENYEWE HAKUTOSHA MIZAN YAKO ALIPOJIPIMA.

NMEKUPENDA SABABU.
MCHA MUNGU( hata kama unweza kua umeongopa ila kitendo cha kumtaja Mungu kinatosha.)
UNAJIELEWA KWA UJUMLA LINAPOKUJA SUALA LA MAISHA .
UMEZAA LAKINI BADO UNAJIAMIN KIASI KWAMBA BADO UNAHITAJI MWANAUME ANAUEKUFAA NASIO TU KUTAFUTA MWANAUME KISA UMEZAA .

NIKUAMBIE...HUMU NDANI KUMEJAA WAPIGAJI. WATAFUTA UCHI NA WAAMBUKIZA UKIMWI WATU WENGINE..

HAWA WAKIJA UTAWATAMBUA KWA MANENO YAO ..UTASIKIA
Umezaa lkn unamashariti
Punguza masharit umeshazaa

Kwa ufupi ni MIJAUME ,MIJINGA MIJINGA, MIMALAYA, YENYE UKIMWI AMBAYO ITALAZIMISHA KUKUFANYA UJIONE "DHAIFU" ILI ULEGEZE, UWE NA HURUMA MWISHOOOOOOOO IKIPATA UCHI ISEPE.

NANYINYI MIJANAUME MIJINGA MIJINGA, MIMALAYA AMBAYO KWENU MPO KUUNGUZA WATU.
HUYU MWANAMKE MUMUACHANE, ITS BETTER KUTULIA TUUU NASIO KUMFATA NA KUZIDI KUMUHARIBIA .

MAMA TULIA. USIWE NA HOFU, UMRI BADO NAHATA UNGEKUA UMESONGA AMINI NAKUAMBIA KUNA WAKAT MUNGU ABAKUSUBIRISHA ILI AKUPE FURAHA YENYE KUDUMU NA AMBAYO ITAKUA YAKO DAIMA.
Hehe kwa kweli nimeipenda hii komenti yako, ni hilo tu hata uzi sijasoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yatapitaje wakati uliyafanya wewe?

Mfano wewe ulishakuwa na MO11 hii haifutiki hata wino mliomwagiana utadumu milele.
Mngekuwa mnatumia nguvu hivihivi kutetea mema tungekuwa mbali sana. Bahati mbaya utetezi huu uko nje.
 
WEWE NI AINA YA WANAWAKE AMBAO HUWA NAPENDA WAIJAZE DUNIA YETU.

SINA SHAKA ULIACHANA NA BABA MTOTO WAKO KWASABABU TU ULIAMUA KUTAFUTA UHURU WA MAISHA YAKO YENYE AMANI NA FURAHA.

SINA SHAKA KWAMBA HAKUA MTU SAHIHI KWAKO NAKWAMBA HATA YEYE MWENYEWE HAKUTOSHA MIZAN YAKO ALIPOJIPIMA.

NMEKUPENDA SABABU.
MCHA MUNGU( hata kama unweza kua umeongopa ila kitendo cha kumtaja Mungu kinatosha.)
UNAJIELEWA KWA UJUMLA LINAPOKUJA SUALA LA MAISHA .
UMEZAA LAKINI BADO UNAJIAMIN KIASI KWAMBA BADO UNAHITAJI MWANAUME ANAUEKUFAA NASIO TU KUTAFUTA MWANAUME KISA UMEZAA .

NIKUAMBIE...HUMU NDANI KUMEJAA WAPIGAJI. WATAFUTA UCHI NA WAAMBUKIZA UKIMWI WATU WENGINE..

HAWA WAKIJA UTAWATAMBUA KWA MANENO YAO ..UTASIKIA
Umezaa lkn unamashariti
Punguza masharit umeshazaa

Kwa ufupi ni MIJAUME ,MIJINGA MIJINGA, MIMALAYA, YENYE UKIMWI AMBAYO ITALAZIMISHA KUKUFANYA UJIONE "DHAIFU" ILI ULEGEZE, UWE NA HURUMA MWISHOOOOOOOO IKIPATA UCHI ISEPE.

NANYINYI MIJANAUME MIJINGA MIJINGA, MIMALAYA AMBAYO KWENU MPO KUUNGUZA WATU.
HUYU MWANAMKE MUMUACHANE, ITS BETTER KUTULIA TUUU NASIO KUMFATA NA KUZIDI KUMUHARIBIA .

MAMA TULIA. USIWE NA HOFU, UMRI BADO NAHATA UNGEKUA UMESONGA AMINI NAKUAMBIA KUNA WAKAT MUNGU ABAKUSUBIRISHA ILI AKUPE FURAHA YENYE KUDUMU NA AMBAYO ITAKUA YAKO DAIMA.
Cc Daby and company.
 
Habari za jioni wapendwa wana jamii foramu
Naamini mu wazima
Mimi si mgeni jamii forum ni mfuatiliaji wa mada mbali mbali japo naingiaga Kama guest user, baada ya kusoma visa na mikasa mingi leo rasmi nimeamua kutengeneza akaunti kwa lengo moja tu la kutafuta mwenzi wa maisha kama second chance.

Kwa wale mlioowa na kuolewa na bado mkadumu katika ndoa Mungu awabariki na awazidishie upendo milele.
Niliolewa kabisaa lakini kuna mambo mazito hasa yalinikumba ndoa ikavunjika baada ya uwezekano wa kurekebishika ulipogonga mwamba.

Kwa muda wote niliokaa peke yangu nimetafakari kwa kina sana na kuamua kutafuta mwanaume ambaye anaweza kunipenda iili baadaye awe mume.

Sifa zangu
-Ni mdada naejituma, mcha Mungu na naejiheshimu
-Ni msomi na najiweza kiuchumi
-Umri wangu upo chini ya miaka 30
-Umri wa utoto na kurukaruka ulishapita, najielewa na najua nachokitaka.
-Nina mtoto mmoja

Sifa za mwanaume
-Awe Mkristo asiyetumia pombe
-Awe asiyependa anasa (sipo tayari kusex naye hadi hapo tutakapo weka kiapo)
-Mwenye uthubutu katika mambo ya maendeleo ( asiye amini sana masuala ya kuajiriwa zaidi sana awe na malengo ya kujiajiri mana matajiri wengi ni wale waliojiajiri)
-Mchapakazi mchapakazi mchapakazi
-Awe amekomaa kiakili, asiwe toz mvaa milegezo na ambaye bado anataka kurukaruka na vibinti
-mwenye upendo sana, kuheshimu na kujali utu.

Huyu namkaribisha tuwe marafiki wenye malengo

Sent using Jamii Forums mobile app
Unahitaji mtu kuanzia umri gani.

umemaliza kila kitu
 
Binasfi huwa nashangaa wanawake wanao tafuta wanaume kwenye mitandao hasa humu jamiiforums, dharau zimejaa humu.
Me pia hua nashangaa sana, ni bora waende kwenye dating sites kuliko humu jf, humu wengi wako perfect, wamesoma, maisha bora, nadhifu na wenye akili.... Mdada anaambulia dharau na kejeli.
 
Habari za jioni wapendwa wana jamii foramu
Naamini mu wazima
Mimi si mgeni jamii forum ni mfuatiliaji wa mada mbali mbali japo naingiaga Kama guest user, baada ya kusoma visa na mikasa mingi leo rasmi nimeamua kutengeneza akaunti kwa lengo moja tu la kutafuta mwenzi wa maisha kama second chance.

Kwa wale mlioowa na kuolewa na bado mkadumu katika ndoa Mungu awabariki na awazidishie upendo milele.
Niliolewa kabisaa lakini kuna mambo mazito hasa yalinikumba ndoa ikavunjika baada ya uwezekano wa kurekebishika ulipogonga mwamba.

Kwa muda wote niliokaa peke yangu nimetafakari kwa kina sana na kuamua kutafuta mwanaume ambaye anaweza kunipenda iili baadaye awe mume.

Sifa zangu
-Ni mdada naejituma, mcha Mungu na naejiheshimu
-Ni msomi na najiweza kiuchumi
-Umri wangu upo chini ya miaka 30
-Umri wa utoto na kurukaruka ulishapita, najielewa na najua nachokitaka.
-Nina mtoto mmoja

Sifa za mwanaume
-Awe Mkristo asiyetumia pombe
-Awe asiyependa anasa (sipo tayari kusex naye hadi hapo tutakapo weka kiapo)
-Mwenye uthubutu katika mambo ya maendeleo ( asiye amini sana masuala ya kuajiriwa zaidi sana awe na malengo ya kujiajiri mana matajiri wengi ni wale waliojiajiri)
-Mchapakazi mchapakazi mchapakazi
-Awe amekomaa kiakili, asiwe toz mvaa milegezo na ambaye bado anataka kurukaruka na vibinti
-mwenye upendo sana, kuheshimu na kujali utu.

Huyu namkaribisha tuwe marafiki wenye malengo

Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo PM na picha yako tafadhali, nami nna shida na mke mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwanini huwa mnapenda kuwahukumu watu kwa past zao? Kwani haiwezekani kuamua kufuata njia iliyo sahihi?

Be you.
Mh! Uki fikiria alivyokuwa anakunjwa hadi akapata mtt halafu anakuja kuweka vigezo vya kutokupima oil kwa kweli ngumu kumeza
 
WEWE NI AINA YA WANAWAKE AMBAO HUWA NAPENDA WAIJAZE DUNIA YETU.

SINA SHAKA ULIACHANA NA BABA MTOTO WAKO KWASABABU TU ULIAMUA KUTAFUTA UHURU WA MAISHA YAKO YENYE AMANI NA FURAHA.

SINA SHAKA KWAMBA HAKUA MTU SAHIHI KWAKO NAKWAMBA HATA YEYE MWENYEWE HAKUTOSHA MIZAN YAKO ALIPOJIPIMA.

NMEKUPENDA SABABU.
MCHA MUNGU( hata kama unweza kua umeongopa ila kitendo cha kumtaja Mungu kinatosha.)
UNAJIELEWA KWA UJUMLA LINAPOKUJA SUALA LA MAISHA .
UMEZAA LAKINI BADO UNAJIAMIN KIASI KWAMBA BADO UNAHITAJI MWANAUME ANAUEKUFAA NASIO TU KUTAFUTA MWANAUME KISA UMEZAA .

NIKUAMBIE...HUMU NDANI KUMEJAA WAPIGAJI. WATAFUTA UCHI NA WAAMBUKIZA UKIMWI WATU WENGINE..

HAWA WAKIJA UTAWATAMBUA KWA MANENO YAO ..UTASIKIA
Umezaa lkn unamashariti
Punguza masharit umeshazaa

Kwa ufupi ni MIJAUME ,MIJINGA MIJINGA, MIMALAYA, YENYE UKIMWI AMBAYO ITALAZIMISHA KUKUFANYA UJIONE "DHAIFU" ILI ULEGEZE, UWE NA HURUMA MWISHOOOOOOOO IKIPATA UCHI ISEPE.

NANYINYI MIJANAUME MIJINGA MIJINGA, MIMALAYA AMBAYO KWENU MPO KUUNGUZA WATU.
HUYU MWANAMKE MUMUACHANE, ITS BETTER KUTULIA TUUU NASIO KUMFATA NA KUZIDI KUMUHARIBIA .

MAMA TULIA. USIWE NA HOFU, UMRI BADO NAHATA UNGEKUA UMESONGA AMINI NAKUAMBIA KUNA WAKAT MUNGU ABAKUSUBIRISHA ILI AKUPE FURAHA YENYE KUDUMU NA AMBAYO ITAKUA YAKO DAIMA.
Nimekupenda buree

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me pia hua nashangaa sana, ni bora waende kwenye dating sites kuliko humu jf, humu wengi wako perfect, wamesoma, maisha bora, nadhifu na wenye akili.... Mdada anaambulia dharau na kejeli.
Waoaji hakuna zaidi ya kudhalilishwa halafu mdada ana kasolo gani hadi kuzunguka kwenye mitandao kuomba mahusiano vitu vingine kujitakia.
 
Kila uliyempa penzi zamani alikuwa anaweka kiapo?

Yani una mtoto tayari lkn hutaki sex mpk kiapo

Mungu akupe hitaji la moyo wako
Ameeleza bayana kwamba aliolewa mambo hayakwenda vzur kuvunjika kwa ndoa wakat mwingine n jambo linakuwa nje ya uwezo wa mtu hamna mtu anayetaka ndoa ivunjike ila inapobid inakuwa hvo ko dada anahitaj tena mtu mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto wa mwenzio upewe wewe!!
Ujinga huu ndio unatuponza wanaume.!!

Damu ya mtu huwa haipotei hivi hivi.yaani mnateka mtoto wa mwingine kisa mapenzi yenu.
Nikiwa Mimi ndio baba ntawavuruga mpaka muombe pooo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Utawavurugaje wakati ulipotia mimba ukakimbia hata matumizi hutoi? Haya mambo yasikie tu watoto wa siku siyo wale wa zamani yaan hata baba umkimbie mtoto baada ya miaka kadhaa anakutafuta. Ukipiga mimba lea mtoto tofauti na hapo mtoto atapewa mwingine na atapandikizwa chuki.
Unamuonaje baba yake na Diamond na Diamond mwenyewe? Kuvuruga utavuruga kama unamhudumia mtoto na mama tofauti na hapo utachezea kichapo na polisi utapelekwa. Nyakati hizi mwanamke anathaminiwa sana kuliko kitu kingine. "Akishasema alinitelekeza nikiwa na mimba, nimehangaika na mimba mpaka imefika kipindi ninalima nikiwa na mimba na leo amepata mume na amekubali kumuoa. Akishasema tu hivyo ww ujue jela inakuhusu na faini juu"
 
Back
Top Bottom