Unataka kusema Nicas Mtei kaachana na sweetlady?
usimsikize huyo Bishanga... AmevurugwaUnataka kusema Nicas Mtei kaachana na sweetlady?
Kha,ulikuwa hujui,habari ya mjini ni bcb!
ntakuja najiona dada. Tumchukue na sis Fixed Point
ha haaa, haya mnikumbushe majira ya huko Dubai, winta au sama? nimeshaanza kupaki mikwiju, hiyo haina weatherKabisaaa...tukapumue...dada Fixed Point umesikia?