dhameery yusuph
Senior Member
- Jul 18, 2013
- 163
- 30
Slave naona kimya kimetawala sana juu ya ule mpango wa Mimi na dada yako Arabela
Slave toka aporwe mke hana hamu na jf japo anasingizia saumu.
upande mmoja kama nataka kukuamini kuwa uta kuwa mwema kwa dada yangu.,Slave naona kimya kimetawala sana juu ya ule mpango wa Mimi na dada yako Arabela
Mtamuua mdogo wangu huyu jamani... Arabela mdogo wangu ramadhaan ikiisha twende DUBAI tukapunzike kwanza maana
Usijali bibie, "nitakudip" leo! Embu mwambie Arabela Ramadhani hii tumepishana kidogo. Mie nilifunga Shaaban na nitafungua Shawal mosi! Ila tuko pamoja!
Recieved and forwarded for further action!
ntakuja najiona dada. Tumchukue na sis Fixed Point