Eeeh, ndo wapi huko. Nimejaribu kutafuta kwenye ramani ya dunia sijaona kabisa nchi yenye jina kama hili.
Asante sana mkuu, yaani umenipanua sana jiografia yangu. Have never thought of such an island in this world. Japo nimekata tamaa kwamba siwezi tena kumpata lakini angalau nimefarijika kwamba nimefahamu kitu kipya. Asante sana, maana post yangu haijaenda bure.
Kwetu huku... Home Sweet Home Shelisheli
Kwetu huku... Home Sweet Home Shelisheli
Acha uongo
Ubishi wako umezidi... Inaelekea kwenu hadi Wageni ulikuwa unawabishia.....nabisha...
Ubishi wako umezidi... Inaelekea kwenu hadi Wageni ulikuwa unawabishia.....
Unauliza vibali vya kuishi vya Tanzania wakati vinauzwa kama karanga pesa yako tu... ila Mimi Nimezaliwa hapa Tz Babu zangu ndio walikuja Tanganyika na Bwana William yule wa Machimbo ya Mwadui... ndio wakabaki hapa na nikabakia....hadi leo so mimi ni Mtanzania wa kuzaliwa kasoro asili tu. na nimegundua Wengi hapa nchi hii hamna Asili na nchi hii..... Kuanzia Raisi wa kwanza hadi wa Mwisho.... na atakayekuja vile vilena phd ya hiyo kitu nshawai bishana na soko nilipowashinda nikaanza kuwaambia aje mmoja mmoja,,
proof kama una passport kibari cha kuishi tz nk
Unauliza vibali vya kuishi vya Tanzania wakati vinauzwa kama karanga pesa yako tu... ila Mimi Nimezaliwa hapa Tz Babu zangu ndio walikuja Tanganyika na Bwana William yule wa Machimbo ya Mwadui... ndio wakabaki hapa na nikabakia....hadi leo so mimi ni Mtanzania wa kuzaliwa kasoro asili tu. na nimegundua Wengi hapa nchi hii hamna Asili na nchi hii..... Kuanzia Raisi wa kwanza hadi wa Mwisho.... na atakayekuja vile vile
Aah aah aah atakayekuja atakua mkenya au mchina?
Mwenzenu nimemmiss kipenzi changu,
Kipenzi changu cha moyo afrodenzi,
nimemtafuta kwa njia zote lakini nimemkosa,
Wapendwa nisaidieni namtafuta Afrodenzi.
Nimemtafuta kwa pm na kwa private email,
Katika njia hizo zote sikupata majibu,
Ninamhitaji akiwa hai au amekufa,
Wapendwa nisaidieni, namtafuta Afrodenzi
Iwapo yupo hai niambieni aliko nimfuate
Iwapo amekufa, nionyesheni kaburi lake nikamlilie
Natamani japo nijue kilichomsibu mpendwa wangu
Wapendwa nisaidieni namtafuta Afrodenzi
Mwenzenu nimemmiss kipenzi changu,
Kipenzi changu cha moyo afrodenzi,
nimemtafuta kwa njia zote lakini nimemkosa,
Wapendwa nisaidieni namtafuta Afrodenzi.
Nimemtafuta kwa pm na kwa private email,
Katika njia hizo zote sikupata majibu,
Ninamhitaji akiwa hai au amekufa,
Wapendwa nisaidieni, namtafuta Afrodenzi
Iwapo yupo hai niambieni aliko nimfuate
Iwapo amekufa, nionyesheni kaburi lake nikamlilie
Natamani japo nijue kilichomsibu mpendwa wangu
Wapendwa nisaidieni namtafuta Afrodenzi