Tumia Google utapata results nyingi tu, fungua moja baada ya nyingine kujiridhisha.
Unamtafutia nini kwanza?
unamfahamu??
Jibu swali kwanza.. Kama unataka kummwagia tindikali je tutajuaje?
Jamani wanajamvi all over Tanzania namtafuta jamaa mmoja anaitwa ABRAHAM NYANGE ninachojua ni kwamba anaishi Ilala....Namba yake ya tigo haipatikani......kwa yeyote atakayenisaidia kuweza kumpata ntashukuru sana.NATANGULIZA SHUKRANI
haya ingia facebook utampata kwa jina hilohilo,,kazi kwakoKwa majina mmatatu ni ABRAHAM HAVER NYANGE
Yule baunsa au mwingine.
huko facebook nikimtumia message hajibu
Kama ukimtumia meseji hajibu ina maana kuwa nyie wawili hamko katika hali nzuri ya kimaelewano, kwa hiyo haumtafuti kwa heri kuna tatizo kati yenu
True....jamaa anani-avoid so what better way to find him than using JF
Nenda polisi kamripoti.Tena una clue kabisa kuwa yuko Ilala ni point nzuri ya kuanzia
Kwa majina mmatatu ni ABRAHAM HAVER NYANGE
yeah na nina evidence kabisa that jamaa kantapeli