Namtafakari Mh. Bernard Membe!

Namtafakari Mh. Bernard Membe!

Ccm wamekataza kutangaza nia kabla ya muda cjui wewe member kakurusu kufanyia kampeni humu jf
 
Ccm wamekataza kutangaza nia kabla ya muda cjui wewe member kakurusu kufanyia kampeni humus jf
 
CCM ina wenyewe lakini nachokuambia take my words Membe,Sitta,Mwekyembe,Magufuli,Nchimbi hawawezi kuwa marais wa Tanzania,kama huniamini subiri utaona.Ni kweli watatoka CCM lakini hao niliowataja hawamo kwenye list.Tena wewe unaonekana unamuandermine sana Lowasa lakini nachokuambia Lowasa ana nafasi kubwa kuliko hao niliokutajia

Hakuna mahali nilipomu-undermine Lowasa. Kwa vile wewe unadai ana nafasi kubwa then ............. we're still in the same boat.......CCM wata-recycle kama kawaida yao. Ndiyo maana nikasema tusitegemee mtu aibuke kwenye hii nafasi kama Prof. Muhongo!!
 
Nape, Membe na Samweli 6 hawa ni CCJ. Wapo CCM kulinda nyadhfa walizohongwa. Wangekua waadulifu wangetoka kama Mrema
 
Haya maajabu eti Membe hana kashfa!!
Kuna mwanaCCM yoyote Nguli anayetaka urais asiye na kashfa?[/QUOTE Zanzibar-ASP, umeongea mengi lakini nitakujuza mawili au matatu kutokana na muda na mengine na mengine naona kama hayana msingi.
5/Membe ameshaacha Siasa za 'kichawi'(Fitna za CCM) tena kwa wanaCCM wenzake? Kwani alishamwomba msamaha Mudhihir, Hawa Ghasia nk? Mbunge wa jimbo la Mtama lakini kutwa anakesha kufitini wananchi wa jimbo la Nchinga, Lindi mjini nk.
Ulitaka amuombe msamaha Mudhihir kwa lipi? Bifu la Mudhihiri lilitokana na mambo makubwa mawili, mosi kuhusu ujenzi wa kiwanda cha saruji na pili kuhusu madai ambayo hata wewe umesema kwamba Membe anaingilia mambo ya majimbo ya Lindi Mjini na Mchinga wakati yeye ni mbunge wa Mtama. Tukianza na hilo la kiwanda cha saruji, Mudhihiri alitaka kuleta ubinafsi...kwavile yeye anatoka Mchinga(as a place not jimbo) akataka ku-force kiwanda cha saruji kijengwe Mchinga wakati Membe alikuwa anakazania kijengwe Lindi. Kwa mtu makini asinge-force kiwanda kijengwe Mchinga; kwanza Mchinga ni kijiji kidogo tu ambacho hata miundombinu hakuna! Sasa ikiwa watu(kwa maana ya human resources) huko Lindi kwenyewe wanaona taabu kufanyia kazi, itakuja kuwa Mchinga ambako ni kijijini? Likewise, wakati Lindi ni accessible kutoka sehemu mbalimbali za Wilaya ya Lindi, Mchinga isn't kwahiyo wakati uwepo wa kiwanda Lindi ungesaidia kuwawezesha wakazi kutoka sehemu mbalimbali wilayani na hata mkoani Lindi hususani linapokuja suala la unskilled labor, uwepo wa kiwanda Mchinga ungekuwa only kwa watu wa Mchinga labda na maeneo ya jirani mpakani na Kilwa!

Tukija hoja ya kwamba Membe anaingilia masuala ya jimbo la Mchinga na Lindi, unaweza kusema hivyo only if hufahamu kijiji anachotoka Membe. Hivi unaweza kuwa mbunge mwenye influence halafu usifanye chochote kijijini kwako na badala yake uwe unaangalia vijiji vingine tu? Membe anatoka Rondo Chiponda...njia nyepesi kufika Rondo na vijiji vingine vya jirani ni ile inayopitia Ng'apa hadi Rutamba na hatimae Rondo! Kabla ya mabadiliko ya 2010, Ng'apa hadi Rutamba zote zilikuwa jimbo la Mchinga; na 2010, Ng'apa imeenda Lindi Mjini na Rutamba imebaki (I can say, by very terrible mistake) Mchinga. So Membe hawezi kufanya lolote kwao na vijiji vya jirani na kwao bila kuathiri vijiji nilivyotaja. Unfortunately, wakati wa Mudhihiri; Mudhihiri akawa hatoi ushirikiano na badala yake kulalamika kwamba Membe anaingilia mambo ya Mchinga! Mbaya zaidi, hii Rondo na Rutamba ni very interdependent...if you want to do something in Rondo, kwa namna moja au nyingine lazima Rutamba iingie kv zipo pua na mdomo ingawaje majimbo tofauti. So, ilipokuwa inatokea hali kama hiyo; Mudhihiri akawa anajihisi kama anafanyiwa fitina!
6/Zile Pesa za mradi wa viwanda vya Saruji kule Kusini ziko wapi? Si alisema ni yeye mwenyewe pekee mwenye uwezo wa kuvijenga? Kwani amebadili mawazo au umezirudisha kwa wahisani au amezitoa sadaka kama anavyofanya Fisadi Lowassa makanisani na Misikitini kwa jina za marafiki zake?
Ina maana huna taarifa juu ya maendeleo ya ujenzi huo, au? Kama hufahamu, pitia angalau hapa: Burudan Mwanzo - Mwisho: WAZIRI MEMBE AKAGUA UJENZI KIWANDA CHA SARUJI LINDI.
8/Ilikuwaje akabadili msimamo wa Gesi ya Mtwara na kuwasaliti wananchi wa kusini.
Mwanzoni walikuamini uliposema Gesi itabaki Mtwara lakini Mwishoni ukawageuka na kusema Gesi lazima iende Dar na Msoga ifike, ukawaacha wananchi wa Mtwara wakipata kichapo cha JWTZ, ulikaa kimya kama maji mtungi, vipi ni woga tu au ni zile Pesa kutoka China kwenye ile akaunti yetu kulee......
Membe is a smart guy, hawezi kusema "gas haitoki mtwara" wakati gas economy yenyewe inashawishi hivyo! Hivi mtu akisema "so" and "so" hakitafanyika hadi kifanyike hiki na kile ni sawa na kusema hiyo "so" and "so" haitafanyika kabisa? Tatizo lenu watu mlishindwa kuelewa madai ya watu wa Mtwara...wakati watu walikuwa wanakazania kulindwa kwa maslahi ya watu wa Mtwara, wengine waka-conclude kwamba hawataki gas itoke!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu umofia kwenu...................!

Miongoni mwa wanasiasa mashuhuri nchini wanaotajwa tajwa kwamba huenda wakajitokeza na pengine kupitishwa kugombe nafasi ya Urais wa nchi hii, ni pamoja na Waziri wa mambo ya nje Mh. Bernard Membe.Ijapokuwa mwenyewe hajatangaza nia, ila zipo dalili kwamba huenda akaishika njia hiyo!.

Binafsi si mfahamu sana Mh.Membe. Ninachojua tu ni kwamba ni waziri wa mambo ya nje wa Tanzania, wizara ambayo ameweza kuiendesha kwa umahiri na busara kweli kweli!.Ninachojua ni kwamba Mh.Membe ni mwanadiplomasia,tena mwanadiplomasia mahiri na hata tabia yake inamtambulisha hivyo.Ni mtu mtaratibu mwenye busara, busara ambayo ameidhihirisha wazi katika kushughulikia misuguano kadhaa kati ya Tanzania na nchi nyingine.Zaid ya hapo, binafsi simjui sana mwanasiasa huyu.

Ningependa kufahamu yafuatayo kutoka kwa wadau.

1. Je! Mh. Membe ana kashfa yeyote ya ufisadi?

2. je! ana kashfa yeyote katika suala la maadili ya uongozi?

3. Je! ana kashifa yoyote ya kijamii?

Kama hayo yote hana, ningependa kujua historia yake ya kiuongozi pamoja na elimu yake.

Ninachojaribu kuwaza ni kwamba, ikiwa CCM, Watampitisha mwanasiasa ambaye ni msafi na hana kashfa,mwanasiasa mwenye elimu nzuri, upeo mpana, na uzoefu wa uongozi, basi huenda uchaguzi wa 2015 ukapendeza sana sana! Mara huku kasimma Zitto, Mara kule kasima Membe au sijui nani......!.mara kule kasima yule! Basi tutarajie kuona mijadala mikali kwenye TV n.k, mijadala itakayojikita juu ya uchumi, masuala ya kijamii na masuala ya kimataifa ambayo itakuwa inatawaliwa na weledi mkubwa kulingana na upeo wa wahusika. Hii itakuwa ni bora kuliko kusikia siasa za mipasho mara fulani kahongwa na fulani, mara fulani kafanya vile, mara......!: siasa ambazo kwa sasa hazina tija tena.
waulize akina KUBENEA na ----------- yao!. waulize wanahabari walioambiwa akiwa prezidah watatafuta nchi ya kukimbilia! Uliza umahiri wake huko TISS aliko na alikoanzia!! Utaupata "utaratibu" "uwezo" wa kushughulikia wapinzania wa nia yake! Muulize Lowasa anavyofuatiliwa.
 
huyu membe ni mtu wa kuchekacheka tu kama fast jet hana lolote....... tunahitaji rais mtendaji ambaye hatocheka na nyani kama huyu wa sasa ambaye hata ukitembea na mkewe yeye atacheka tu
 
Ni zamu ya Lowassa sasa au Magufuli au Mwakiembe . Membe alishawakilishwa na Mkapa. Na wakati wa Mkapa hakupewa uwaziri majembe yalikua mengi
 
Naf Beach Hotels in Mtwara are belonging to him, je ameziorodhesha mali zake zote kwa tume ya maadili ya viongozi?
 
Membe ni 3rd or 4th generation ya siasa za CCM, hivyo siku akitamka kugombea kashfa zake tutaziona tu, kwani hao ambao ni 2nd or 3rd generation wanamjua in and out.

Wakuu umofia kwenu...................!

Miongoni mwa wanasiasa mashuhuri nchini wanaotajwa tajwa kwamba huenda wakajitokeza na pengine kupitishwa kugombe nafasi ya Urais wa nchi hii, ni pamoja na Waziri wa mambo ya nje Mh. Bernard Membe.Ijapokuwa mwenyewe hajatangaza nia, ila zipo dalili kwamba huenda akaishika njia hiyo!.

Binafsi si mfahamu sana Mh.Membe. Ninachojua tu ni kwamba ni waziri wa mambo ya nje wa Tanzania, wizara ambayo ameweza kuiendesha kwa umahiri na busara kweli kweli!.Ninachojua ni kwamba Mh.Membe ni mwanadiplomasia,tena mwanadiplomasia mahiri na hata tabia yake inamtambulisha hivyo.Ni mtu mtaratibu mwenye busara, busara ambayo ameidhihirisha wazi katika kushughulikia misuguano kadhaa kati ya Tanzania na nchi nyingine.Zaid ya hapo, binafsi simjui sana mwanasiasa huyu.

Ningependa kufahamu yafuatayo kutoka kwa wadau.

1. Je! Mh. Membe ana kashfa yeyote ya ufisadi?

2. je! ana kashfa yeyote katika suala la maadili ya uongozi?

3. Je! ana kashifa yoyote ya kijamii?

Kama hayo yote hana, ningependa kujua historia yake ya kiuongozi pamoja na elimu yake.

Ninachojaribu kuwaza ni kwamba, ikiwa CCM, Watampitisha mwanasiasa ambaye ni msafi na hana kashfa,mwanasiasa mwenye elimu nzuri, upeo mpana, na uzoefu wa uongozi, basi huenda uchaguzi wa 2015 ukapendeza sana sana! Mara huku kasimma Zitto, Mara kule kasima Membe au sijui nani......!.mara kule kasima yule! Basi tutarajie kuona mijadala mikali kwenye TV n.k, mijadala itakayojikita juu ya uchumi, masuala ya kijamii na masuala ya kimataifa ambayo itakuwa inatawaliwa na weledi mkubwa kulingana na upeo wa wahusika. Hii itakuwa ni bora kuliko kusikia siasa za mipasho mara fulani kahongwa na fulani, mara fulani kafanya vile, mara......!: siasa ambazo kwa sasa hazina tija tena.
 
Mbona comment zako zote zimelalia sana upande wa dini ? Unamaana gani? Toa maelezo zaidi
 
Haya maajabu eti Membe hana kashfa!!
Kuna mwanaCCM yoyote Nguli anayetaka urais asiye na kashfa?[/QUOTE Zanzibar-ASP, umeongea mengi lakini nitakujuza mawili au matatu kutokana na muda na mengine na mengine naona kama hayana msingi.
Ulitaka amuombe msamaha Mudhihir kwa lipi? Bifu la Mudhihiri lilitokana na mambo makubwa mawili, mosi kuhusu ujenzi wa kiwanda cha saruji na pili kuhusu madai ambayo hata wewe umesema kwamba Membe anaingilia mambo ya majimbo ya Lindi Mjini na Mchinga wakati yeye ni mbunge wa Mtama. Tukianza na hilo la kiwanda cha saruji, Mudhihiri alitaka kuleta ubinafsi...kwavile yeye anatoka Mchinga(as a place not jimbo) akataka ku-force kiwanda cha saruji kijengwe Mchinga wakati Membe alikuwa anakazania kijengwe Lindi. Kwa mtu makini asinge-force kiwanda kijengwe Mchinga; kwanza Mchinga ni kijiji kidogo tu ambacho hata miundombinu hakuna! Sasa ikiwa watu(kwa maana ya human resources) huko Lindi kwenyewe wanaona taabu kufanyia kazi, itakuja kuwa Mchinga ambako ni kijijini? Likewise, wakati Lindi ni accessible kutoka sehemu mbalimbali za Wilaya ya Lindi, Mchinga isn't kwahiyo wakati uwepo wa kiwanda Lindi ungesaidia kuwawezesha wakazi kutoka sehemu mbalimbali wilayani na hata mkoani Lindi hususani linapokuja suala la unskilled labor, uwepo wa kiwanda Mchinga ungekuwa only kwa watu wa Mchinga labda na maeneo ya jirani mpakani na Kilwa!

Tukija hoja ya kwamba Membe anaingilia masuala ya jimbo la Mchinga na Lindi, unaweza kusema hivyo only if hufahamu kijiji anachotoka Membe. Hivi unaweza kuwa mbunge mwenye influence halafu usifanye chochote kijijini kwako na badala yake uwe unaangalia vijiji vingine tu? Membe anatoka Rondo Chiponda...njia nyepesi kufika Rondo na vijiji vingine vya jirani ni ile inayopitia Ng'apa hadi Rutamba na hatimae Rondo! Kabla ya mabadiliko ya 2010, Ng'apa hadi Rutamba zote zilikuwa jimbo la Mchinga; na 2010, Ng'apa imeenda Lindi Mjini na Rutamba imebaki (I can say, by very terrible mistake) Mchinga. So Membe hawezi kufanya lolote kwao na vijiji vya jirani na kwao bila kuathiri vijiji nilivyotaja. Unfortunately, wakati wa Mudhihiri; Mudhihiri akawa hatoi ushirikiano na badala yake kulalamika kwamba Membe anaingilia mambo ya Mchinga! Mbaya zaidi, hii Rondo na Rutamba ni very interdependent...if you want to do something in Rondo, kwa namna moja au nyingine lazima Rutamba iingie kv zipo pua na mdomo ingawaje majimbo tofauti. So, ilipokuwa inatokea hali kama hiyo; Mudhihiri akawa anajihisi kama anafanyiwa fitina!
Ina maana huna taarifa juu ya maendeleo ya ujenzi huo, au? Kama hufahamu, pitia angalau hapa: Burudan Mwanzo - Mwisho: WAZIRI MEMBE AKAGUA UJENZI KIWANDA CHA SARUJI LINDI.
Membe is a smart guy, hawezi kusema "gas haitoki mtwara" wakati gas economy yenyewe inashawishi hivyo! Hivi mtu akisema "so" and "so" hakitafanyika hadi kifanyike hiki na kile ni sawa na kusema hiyo "so" and "so" haitafanyika kabisa? Tatizo lenu watu mlishindwa kuelewa madai ya watu wa Mtwara...wakati watu walikuwa wanakazania kulindwa kwa maslahi ya watu wa Mtwara, wengine waka-conclude kwamba hawataki gas itoke!

Mkuu sasa Membe anakagua kiwanda cha saruji cha MEIS kama mdau wa maendeleo Lindi au mwekezaji wa pesa za Libya?
 
Hana kashifa,anazo sifa toshelezi za kuiongoza tanzania ,ni mweledi wa siasa za uchumi na maendeleo kitaifa na kimataifa.
Mbaguzi mkubwa sana. Siku moja mwenge wa uhuru unapita alipewa nafasi ya kuongea. katika kuongea kwake alisema kusini ni maskini kwa sababu ya watu wa kazkazini. Alipoaanza kuongea hiyo pumba alinyang'anywa mic na kiongozi wa mbio za mwenge. Hafai kabisa hatutaki status quo tena TZ.
 
CCM kwa kuli-cycle ........ wewe unatuambia kuna mtu atatoka wapi?? Thubutu!! Ni hawa, hawa unaowajua. Unamkumbuka yule mama Maghembe wa UN aliyetaka kugombea 1995 ......... Nyerere akamtoa machozi alimtoa machozi mbele ya watu!! Kwa CCM, Rais hawezi kupatikana kama alivyopatikana Prof. Muhongo ............. Hizo sahau. CCM ina wenyewe bwana...!!

Halafu membe saa hivi harakati ametuliza kabisa huyu jamaa atakua ameambiwa asiseme seme hovyo ili jina lake lisiwekwe miongoni mwa wale wakorofi wa kukigawa chama ambao watachujwa na CC (sitta na Lowassa) ili kukinusuru chama...smart move mpaka 2025 hata zile kauli za wabaya 11 watanganyika na wana CCM watakua wamesahau au wamesahau
 
Nasikia yale mabilioni ya Ghadhaff aloyotanguliza TZ kupitia Membe ili akizidiwa na wavamizi kule Libya aje kuishi uhamishoni TZ, alipo uawa wamezigawa na kujenga maghorofa Kariakoo na kwingineko
 
Hebu tupe mchapo huu vizuri maana inasemekana kuwa huyu jamaa hana kashfa kabisa...
 
Halafu membe saa hivi harakati ametuliza kabisa huyu jamaa atakua ameambiwa asiseme seme hovyo ili jina lake lisiwekewe miongoni mwa wale wakorofi wa kukigawa na chama ambao watachujwa na CC (sitta na Lowassa) ili kukinusuru chama...smart move

Nashawishika kukubaliana nawe ktk mtizamo huu. Nakumbuka mara ya mwisho kuzungumzia habari ya Urais ni pale alipohojiwa na Jenerali Ulimwengu, naye alipoulizwa alisema kuwa bado hajaoteshwa, ila bado usingizi upo. He is very smart. Lets wait and see.
 
Back
Top Bottom