ukishamaliza UCHUNGUZ lala ukiamka utamkuta EL 2015 yuko IKULU!
Haya maajabu eti Membe hana kashfa!!
Kuna mwanaCCM yoyote Nguli anayetaka urais asiye na kashfa?
Kwa mfano kuhusu Membe:
1/Mahakama yetu ya Kadhi kwetu sisi waislam imeishia wapi? Misikitini tulimwona sana Membe akija kujipendekeza alipowekwa chini na 'Wagalatia' kupitia maaskofu wao, tukaona amenywea!!
2/Zile pesa alizohongwa(Alipewa?!) na Gadafi zilikuwa za nini na amezipeleka wapi? Si alisema Gadafi ni rafiki yake wa karibu na angemtumia kuwasadia wananchi wa Kusini, vipi zile Pesa?
3/Pesa za chenji ya Rada ziko wapi? Si alisema atakufa nazo, vipi mbona Kimya? Katulizwa? Hiyo Akaunti ya hizo pesa iko wapi? Mbona vitabu havipo mashuleni? Au Oxford wamegoma kuvichapisha?
4/Siasa za Misikitini na Fitna zake huku Lindi ameshaziacha, yeye kazi yake ni kununua mashekh ili wampigie makofi na kumsema vizuri huku Kusini ili iweje?
5/Membe ameshaacha Siasa za 'kichawi'(Fitna za CCM) tena kwa wanaCCM wenzake? Kwani alishamwomba msamaha Mudhihir, Hawa Ghasia nk? Mbunge wa jimbo la Mtama lakini kutwa anakesha kufitini wananchi wa jimbo la Nchinga, Lindi mjini nk.
6/Zile Pesa za mradi wa viwanda vya Saruji kule Kusini ziko wapi? Si alisema ni yeye mwenyewe pekee mwenye uwezo wa kuvijenga? Kwani amebadili mawazo au umezirudisha kwa wahisani au amezitoa sadaka kama anavyofanya Fisadi Lowassa makanisani na Misikitini kwa jina za marafiki zake?
7/Siasa za kutumia madhabahu za makanisa ameiga kutika Monduli au ni Original version yake? Akiwa rais ataacha au ataendeleza ili 'wagalatia' waendelee kuzugwa?
8/Ilikuwaje akabadili msimamo wa Gesi ya Mtwara na kuwasaliti wananchi wa kusini.
Mwanzoni walikuamini uliposema Gesi itabaki Mtwara lakini Mwishoni ukawageuka na kusema Gesi lazima iende Dar na Msoga ifike, ukawaacha wananchi wa Mtwara wakipata kichapo cha JWTZ, ulikaa kimya kama maji mtungi, vipi ni woga tu au ni zile Pesa kutoka China kwenye ile akaunti yetu kulee......
*Ni UCHAFU mtupu kwa mwanaCCM mwenye akili timamu kumshabikia Lowassa, Membe au Sitta ili awe mgombea urais wa CCM 2015.
To be honest, hata mimi nilipata taabu kidogo kufahamu dhamira ya hatua yake hiyo ingawaje kwa upande mwingine siwezi kushangaa sana hasa nikizingatia kwamba ni yeye ndie ame-push ujenzi wa kiwanda hicho. Vilevile kuna jambo moja lipo wazi...Membe amekuwa akijitahidi sana ku-push mkoa wake mbele lakini kwa bahati mbaya mkoa wenyewe haubebeki (this's not an insult coz' even myself natoka huko) kutokana na sababu kadhaa wa kadhaa. So, Membe anapoona ujenzi wa kiwanda kama hicho, kwake ni mafanikio makubwa na ikiwa ana nafasi ya kufanya alichofanya(kukagua) basi hawezi kuiacha nafasi hiyo.Mkuu sasa Membe anakagua kiwanda cha saruji cha MEIS kama mdau wa maendeleo Lindi au mwekezaji wa pesa za Libya?
Naniendelea kumtafakari ukimaliza uanze kumtafakari na Lowassa.
2015 utashangaa anapita kwa kasi ya kimbunga zaidi ya Katrina
Ni dhaifu mnooNi mpole mno...atakuwa kama anayeondoka; kifupi ni DHAIFU
Na akaja magufuliWewe mtaje Bernard Membe na umahili sijui wa intelijensia na diplomasia, kwa taarifa yako kuna mtu atatokeza wala alikotoka hapatajulikana isipokuwa ni July mwakani 2015 ndiyo utamjua Membe kuwa anasdindikiza watu wengine
Unasema?? HahahaRais ajaye ni lowasa,membe atabaki waziri tu
weweHaya maajabu eti Membe hana kashfa!!
Kuna mwanaCCM yoyote Nguli anayetaka urais asiye na kashfa?
Kwa mfano kuhusu Membe:
1/Mahakama yetu ya Kadhi kwetu sisi waislam imeishia wapi? Misikitini tulimwona sana Membe akija kujipendekeza alipowekwa chini na 'Wagalatia' kupitia maaskofu wao, tukaona amenywea!!
2/Zile pesa alizohongwa(Alipewa?!) na Gadafi zilikuwa za nini na amezipeleka wapi? Si alisema Gadafi ni rafiki yake wa karibu na angemtumia kuwasadia wananchi wa Kusini, vipi zile Pesa?
3/Pesa za chenji ya Rada ziko wapi? Si alisema atakufa nazo, vipi mbona Kimya? Katulizwa? Hiyo Akaunti ya hizo pesa iko wapi? Mbona vitabu havipo mashuleni? Au Oxford wamegoma kuvichapisha?
4/Siasa za Misikitini na Fitna zake huku Lindi ameshaziacha, yeye kazi yake ni kununua mashekh ili wampigie makofi na kumsema vizuri huku Kusini ili iweje?
5/Membe ameshaacha Siasa za 'kichawi'(Fitna za CCM) tena kwa wanaCCM wenzake? Kwani alishamwomba msamaha Mudhihir, Hawa Ghasia nk? Mbunge wa jimbo la Mtama lakini kutwa anakesha kufitini wananchi wa jimbo la Nchinga, Lindi mjini nk.
6/Zile Pesa za mradi wa viwanda vya Saruji kule Kusini ziko wapi? Si alisema ni yeye mwenyewe pekee mwenye uwezo wa kuvijenga? Kwani amebadili mawazo au umezirudisha kwa wahisani au amezitoa sadaka kama anavyofanya Fisadi Lowassa makanisani na Misikitini kwa jina za marafiki zake?
7/Siasa za kutumia madhabahu za makanisa ameiga kutika Monduli au ni Original version yake? Akiwa rais ataacha au ataendeleza ili 'wagalatia' waendelee kuzugwa?
8/Ilikuwaje akabadili msimamo wa Gesi ya Mtwara na kuwasaliti wananchi wa kusini.
Mwanzoni walikuamini uliposema Gesi itabaki Mtwara lakini Mwishoni ukawageuka na kusema Gesi lazima iende Dar na Msoga ifike, ukawaacha wananchi wa Mtwara wakipata kichapo cha JWTZ, ulikaa kimya kama maji mtungi, vipi ni woga tu au ni zile Pesa kutoka China kwenye ile akaunti yetu kulee......
*Ni UCHAFU mtupu kwa mwanaCCM mwenye akili timamu kumshabikia Lowassa, Membe au Sitta ili awe mgombea urais wa CCM 2015.
HahahaHivi hadi leo humjui raisi ajaye?! Pole wenzako tulishasimama na kuhesabiwa Monduli.