Namtabiria mkuu Mwigulu kuandaliwa kumrithi mtukufu wetu

Wakuu, Siasa inahitaji maandalizi ili kushika nafasi ya juu katika uongozi wa nchi. Nimekuwa nikimfuatilia Ndg. Mwigulu Nchemba tangu sakata la Arusha mpaka kutaka kugombea urais kupitia chama chake CCM.Nilichokibaini kuna mabadiliko sana katika mwenendo kauli na hata uvaaji.

Kilichonishtua zaidi ni aina yake uvaaji inayoashiria kupractice nafasi ya amiri jeshi mkuu wa nchi. Kwa kuangalia hilo namtabiria mkuu Mwigulu kuandaliwa kumrithi mtukufu wetu.
View attachment 379214
mwigulu for 2025-2035!
 
Mpaka leo hayati Mwalimu Julius Nyerere ni kitendawili kutangazwa kuwa ni mtakatifu! Magufuli leo ni miezi kadhaa toka awe Raisi awe Mtukufu??????????
 
Wakuu, Siasa inahitaji maandalizi ili kushika nafasi ya juu katika uongozi wa nchi. Nimekuwa nikimfuatilia Ndg. Mwigulu Nchemba tangu sakata la Arusha mpaka kutaka kugombea urais kupitia chama chake CCM.Nilichokibaini kuna mabadiliko sana katika mwenendo kauli na hata uvaaji.

Kilichonishtua zaidi ni aina yake uvaaji inayoashiria kupractice nafasi ya amiri jeshi mkuu wa nchi. Kwa kuangalia hilo namtabiria mkuu Mwigulu kuandaliwa kumrithi mtukufu wetu.
View attachment 379214
Mahaba tuweke pembeni. Umefanya utafiti na kutoa
Majibu mapema sana.
Muda ndio uamuzi wa karibu kila kitu.
Historia inanionyesha wanaojiandaa mapema hua hawapati.

By the way. Kuna vigezo vingine vyaweza kuja kutumika.

Kuna january Makamba etc.
 
Wakuu, Siasa inahitaji maandalizi ili kushika nafasi ya juu katika uongozi wa nchi. Nimekuwa nikimfuatilia Ndg. Mwigulu Nchemba tangu sakata la Arusha mpaka kutaka kugombea urais kupitia chama chake CCM.Nilichokibaini kuna mabadiliko sana katika mwenendo kauli na hata uvaaji.

Kilichonishtua zaidi ni aina yake uvaaji inayoashiria kupractice nafasi ya amiri jeshi mkuu wa nchi. Kwa kuangalia hilo namtabiria mkuu Mwigulu kuandaliwa kumrithi mtukufu wetu.
View attachment 379214
Huyu jamaa tulikua naye jeshini msange Tabora 2013 kiukweli anapiga kazi na anajituma. Alikua anakomaa na kwata ingawa course yao ilikua compressed mpaka wiki tatu badala ya miezi mitatu lakini alikua ameiva sawia. Bila shaka atakua anafanya kazi yake kwa uweledi mkubwa.
 
Huu uzi unamuharibia Mh. Mwingulu....tusubiri kidogo mpaka karibu na 2020.aende chama kwanza kuchukua nafasi ya Kinana.
 
Huyu jamaa tulikua naye jeshini msange Tabora 2013 kiukweli anapiga kazi na anajituma. Alikua anakomaa na kwata ingawa course yao ilikua compressed mpaka wiki tatu badala ya miezi mitatu lakini alikua ameiva sawia. Bila shaka atakua anafanya kazi yake kwa uweledi mkubwa.
Ha ha eti anajua kupiga kwata...
 
Halafu hizi propaganda za Udini zinakera.Zamani kulikua na propaganda za Uzanzibari na Ubara katika Mzunguko. Zikafifishwa.Zitafifishwa za udini na kisha Ukanda.

Halafu kuna watu wanafanya hivyo kwa maslahi yao tu kisiasa.Eti 2035 ni zamu ya dini fulani.Jinsi Uzanzibari na Ubara ulivyozikwa kuanzia Mkapa-Kiwete ndivyo itakavyokua
 
Kwa kuchafua mawe,daraja,matanki ya maji ndo awe rais? Labda rais wa Iramba
 
Back
Top Bottom