Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
- Thread starter
- #21
Kasie Cough Kasiba, asante kwa kunisaidia kuweka huo wimbo. Thanks.
Kazini kuna mambo mengi sana mama, na katika hayo, MENGI ni fitina tu. Waswahili wanasema FITNA. Na kuna watu wanajua FITNA!!!!!! Ahhhh Acha kabisa.
Ila try me, watu wengi wanaofanya FITNA makazini huwa hawana raha wala amani, sio kazini wala majumbani mwao, pathetic fools.
Mungu ni mwema wakati wote, huwa hakubali upate shida kwa muda mrefu kwa figisu ambazo hazikuhusu.
Daudi kwenye Bible anasema, nitaamka usiku wa manane nilisifu jina lako. Sio kuomba, no no no!!! Only to praise HIM.
Yaani when it comes to praises I sing alot yaani sijui nisemeje. Na huu wimbo nashukuru umeutoa hapa hata nikausikiliza maana ni moja kati ya nyimbo zilizonijengea kuwa na pumzi wakati wa kuimba na kuwa na vocal.
Asante kwa maneno mujarabu, hakika uliyosema ni kweli kabisa.
Stay well and be blessed.