Juzi
moja tulikwaruzana kidogo na my waif wangu sasa mi nipo seblen nachek
mdahalo wa akina warioba yeye waif akaingia chumban akashika madonge eti
anataka kuyameza huku ni mjamzito duh, kidume nikaingia chumban kujitayarisha ili
nikaswali magharib ndo nakumban na hiyo hali nikaenda jikon nikamletea
jagi la maji na glas alfu mi uyo nikaelekea mskiti, nilipofika nje
nikamuandikia meseji "chagua mava kabisa kati ya kisutu na mwinyi mkuu"
duh na anavoogopa kaburi nikarudi yupo seblen anachek muvi nikamuliza vipi umekosa viza au tiket umeipoteza, akanambia oh huna huruma huion ii hali nilionayo bado unataka nife, nikamwambia mimb isiwe kinga ya makosa halaf mi ukanifanya ndondocha lako, bs mpaka leo akikumbuk nilivompa jag la maji anacheka.
Last edited by Turufuu; 7th August 2014 at 22:22.