Namshauri Rais afute vitambulisho vya wamachinga

Mkuu Sasa hivi Hali kwake imekuwa Ni tete.
Misaada ndiyo haieleweki.
Biashara na makampuni binafsi yanafungwa ukitaka kuthibitisha nenda kariakoo ukitaka fremu au stoo unapata Tena bila dalali kwani namba zimebandikwa kwenye fremu.
Sasa inabidi mbinu za ziada zitumike Kama kupitia polisi barabarani na hivyo vitambulisho.

Huo ushauri Ni mgumu kupokelewa kutokana na Hali ilivyo
Kariakoo ipi iyo wamefunga fremu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tshs 20,000 ÷ 365 days = Tshs 54.79 per day.
Kiufupi wafanyabiashara wanaochukua vitambulisho wanachajiwa kodi ya Tsh 55 kwa siku, na bado inaonekana kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hapo mkuu.

Baadhi wapotoshaji awalitakii hili jambo lifanikiwe lakini sio pesa nyingi kama inavyolalamikiwa.

Tanzania itajengwa na watanzania wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mfanyabiashara anaelipa kodi anapewa na nani mtaji???
Ushasema mfanyabiashara!! Mbona unaujichanganya hata hujui category za biashara. Au kwa kuwa kiongozi wa malaika ndio katoa hivyo vitambulisho? Acheni upumbavu kushabikia hata ujinga, kisa tu mfalme ndio kafanya. Poleni sana, kama mmeshindwa kuendesha nchi jiondoeni tu, sio mpaka mje muondolewe.
Mlidhani kununua upinzani ndio kukusanya kodi, mlidhani kuzuia mikutano ya siasa ndio kuboresha maisha ya mtanzania, mlidhani kuchota hela za hazina bila kibali cha bunge, ndio kuongeza ajira kwa watanzania, au mlidhani kuzuia bunge kurushwa live ndio kuongeza viwanda? Mkaenda mbali mkaanza kugombana na matajiri, wafanyabiashara wakubwa, wawekezaji wa kila sekta, wawe wazawa au wageni ndio mkajua itaweza kulipa deni la taifa?
Poleni sana, naona mwisho umefika. Sasa mmerudi kuwatisha wananchi, tunajua mpango ulioko nyuma. Mkifanikiwa hili basi mtawale milele!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushasema mfanyabiashara!! Mbona unaujichanganya hata hujui category za biashara. Au kwa kuwa kiongozi wa malaika ndio katoa hivyo vitambulisho? Acheni upumbavu kushabikia hata ujinga, kisa tu mfalme ndio kafanya. Poleni sana, kama mmeshindwa kuendesha nchi jiondoeni tu, sio mpaka mje muondolewe.
Mlizani kununua upinzani ndio kukusanya kodi, mlidhani kuzuia makutano ya siasa ndio kuboresha maisha ya mtanzania, mlidhani kuchota hela za hazina bila kibali cha bunge, ndio kuongeza ajira kwa watanzania, au mlidhani kuzuia bunge kurushwa live ndio kuongeza viwanda? Mkaenda mbali mkaanza kugombana na matajiri, wafanyabiashara wakubwa, wawekezaji wa kila sekta, wawe wazawa au wageni ndio mkajua itaweza kulipa deni la taifa?
Poleni sana, naona mwisho umefika. Sasa mmerudi kuwatisha wananchi, tunajua mpango ulioko nyuma. Mkifanikiwa hili basi mtawale milele!!

Sent using Jamii Forums mobile app
maandishi marefu hayana maana yoyote..mimi sio mshabiki wa siasa..ila kama anapata mtaji wa kuuza chochote alipie kitambulisho. 'anachangia'..hata kama 'wanasiasa' wa sasa wana makosa lakini la wamachinga liko vizuri..wanunue tu
 
Ifike wakati watanzania tuache ujinga kama watu hawataki kutoa elfu ishirini kwa ajili ya kitambulisho kitakacho wa exempt kulipa kodi ambayo ingekuwa kubwa zaidi basi hao watu wasidai maji, umeme, barabara wala hudumu yoyote toka serikalini , haiwezekani watu wachache watozwe kodi kwa ajili ya 60% ya watanzania wengine. Hivi ikitokea tunyimwe msaada tutaishiji kama nchi? Mbona watu mnaendekeza uvivu, ujinga na ukosefu wa ubunifu wa kutafuta pesa. Watu wanatoa sababu kibao lakini wanasahau uvivu na ujinga wa watu wasiolipa kodi. Hii nchi ingekuwa chini ya wakoloni au hao wazungu wanaotupa misaada wote tungelipa kodi hata kwa fimbo.
Tatizo sio kulipa hyo pesa je wamepata udhibitisho gani kama anapata faida zaidi ya hyo pesa au mtaji wake unafika hyo pesa ...?

Wauza karanga, wasusi, wauza mboga, mafundi viatu, waziba pancha, wauza uji...kweli...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yangekuwa hayana maana usingejibu kitu. Nadhani yamekugusa, pole sana.
maandishi marefu hayana maana yoyote..mimi sio mshabiki wa siasa..ila kama anapata mtaji wa kuuza chochote alipie kitambulisho. 'anachangia'..hata kama 'wanasiasa' wa sasa wana makosa lakini la wamachinga liko vizuri..wanunue tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ifike wakati watanzania tuache ujinga kama watu hawataki kutoa elfu ishirini kwa ajili ya kitambulisho kitakacho wa exempt kulipa kodi ambayo ingekuwa kubwa zaidi basi hao watu wasidai maji, umeme, barabara wala hudumu yoyote toka serikalini , haiwezekani watu wachache watozwe kodi kwa ajili ya 60% ya watanzania wengine. Hivi ikitokea tunyimwe msaada tutaishiji kama nchi? Mbona watu mnaendekeza uvivu, ujinga na ukosefu wa ubunifu wa kutafuta pesa. Watu wanatoa sababu kibao lakini wanasahau uvivu na ujinga wa watu wasiolipa kodi. Hii nchi ingekuwa chini ya wakoloni au hao wazungu wanaotupa misaada wote tungelipa kodi hata kwa fimbo.
Hivi unajua mlipa kodi ni mtumiaji wa mwisho, yaani mimi na wewe. Soma sana vitabu vinavyohusu uchumi utajua, mfanyabiashara sio mlipa kodi ila mlipakodi ni wewe mtumiaji wa mwisho na haiji kubadilika. Ukisoma utaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app in Tecno wereva
 
Kwahiyo zimetengenezwa kwa ajili ya kodi ? ulimsikia mh Raisi wakati anayatoa kwa Mara ya kwanza ? au unataka kumlisha watu maneno ?
 
Akivifuta akumbuke kuturudishia pesa yetu sisi ambao alikwisha tuuzia. Maana huwa nikikitizama hiki kitambulisho natamani kulia kwa yowe majirani wanisaidie. nimelazimishwa kukinunua alafu mtaji umekata niko tu home na likitu ambalo siwezi ata kwenda kukopea jero kwa majirani. Aisee jiwe kanipiga mbawa yangu kisomi. Bora ningekula hii pesa na totoz na balimi 3 ningefaidi
 
Hivi unajua mlipa kodi ni mtumiaji wa mwisho, yaani mimi na wewe. Soma sana vitabu vinavyohusu uchumi utajua, mfanyabiashara sio mlipa kodi ila mlipakodi ni wewe mtumiaji wa mwisho na haiji kubadilika. Ukisoma utaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app in Tecno wereva
Umeandika basics tu. Nakushauri hivyo vitabu uvisome vizuri zaidi.
 
Ifike wakati watanzania tuache ujinga kama watu hawataki kutoa elfu ishirini kwa ajili ya kitambulisho kitakacho wa exempt kulipa kodi ambayo ingekuwa kubwa zaidi basi hao watu wasidai maji, umeme, barabara wala hudumu yoyote toka serikalini , haiwezekani watu wachache watozwe kodi kwa ajili ya 60% ya watanzania wengine. Hivi ikitokea tunyimwe msaada tutaishiji kama nchi? Mbona watu mnaendekeza uvivu, ujinga na ukosefu wa ubunifu wa kutafuta pesa. Watu wanatoa sababu kibao lakini wanasahau uvivu na ujinga wa watu wasiolipa kodi. Hii nchi ingekuwa chini ya wakoloni au hao wazungu wanaotupa misaada wote tungelipa kodi hata kwa fimbo.
Hayo maji na Umeme wanapata bure? VAT si kila mwananchi analipa? Huu no unyonyaji tu hakuna jingine
 
Nakubaliana nawe kwa 100% kwani kuna sehemu nilikuwa nimekaa jana napiga zangu ' Soga ' kama kawaida akaja Mtendaji mmoja ( namuhifadhi ) na katika mazungumzo yetu mengine baadae akaniambie tena mbele ya Watu wengine waliokuwepo pale kwamba ananiomba Mimi ' niwashawishi ' Wafanyabiashara wa eneo husika ambao wengi Wao ni Marafiki zangu wakubwa tu na tunaheshimiana mno ili wakachukue Vitambulisho hivyo kwakuwa hadi hivi sasa ' vinawadodea ' kama siyo ' kuwaozea ' kabisa Maofisini Kwao na nilishtuka sana na kuanza Kujiuliza Maswali lukuki / mengi mno juu ya hili jambo la Vitambulisho. Nadhani linatakiwa liangaliwe Kiumakini na si vibaya wala dhambi likawa ' revised ' kwa Manufaa mazuri, mema na makubwa ya baadae. Sitaki Kuamini kwakuwa bado sijathibitisha ila kuna taarifa nimesikia kwamba sehemu zingine Watu ( Wamachinga ) hawapewi hivi Vitambulisho mpaka Kwanza wawe ' Wanachama ' au ' Waungaji Mkono ' wa Kutukuka wa Mitaa ya Mnazi Mmoja na Lumumba jijini Dar es Salaam.
Mkuu bado upo Pueto Rico?
 
Back
Top Bottom