Mnapenda kuangushia jumba bovu kwa wenzenu..mbona wew hutukukuona hata sku1 ukiandamana kwenda ikulu kudai hO haki...au kukuona hata ukitoa maoni kwenye video ya kulaan uonevu huo?kwan we si ni raia wa Tz...?Kinachofanyika mahakamani kwa miezi mitatu mfululizo Ni ishara kwa muhimili wa mahakama kushindwa kutekeleza wajibu wake na kutekeleza maelekezo ya serikali.
Kwa kuwa mkuu wa muhimili wa mahakama Ni yule yule aliyekuwepo wakati watu wanaonewa na kubambikiwa kesi na kwa kipindi chote hicho alikaa kimya, naomba busara imwelekeze Jaji Mkuu kuachia ngazi na kuruhusu usukaji upya wa muhimili wa mahakama unaoweza kusimamia haki.
Muhimili huu ukiendelea kusikiliza serikali inataka nini na kutekeleza dhana ya separation of power haitakuwa na maana nchini.
Mzee nikuombe utafakari Kama uliyowafanyia wananchi wa Tanzania kwa miaka mitano yanakushuhudia kuendelea kukalia hicho kiti. Najua ulisukumwa kuminya haki na ukatekeleza kinyume na kiapo chako. Kukaa pembeni si dalili ya kushindwa Bali nikuiombea mahakama msamaha kwa wannchi na kupunguza lawama na dhambi ulizochuma ukiwa hapo juu.
Watanzania wanalia na kuumia kwa kupoteza wapendwa wao wakiwa jela au wengine kufariki kwa presha kwa kusikia wapendwa wao wapo ndani. Wengine Ni walemavu na baadhi familia zimesambaratika, jitafakari
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu-gay
Ndugu-gay....
hahahahahaha, nikabidi nicheke tuView attachment 1833426UHURU WA KUJIELEZA HUU
Umebaki kukariri tuu huna point yeyote kila thread una copy na paste haya maneno tuu,safar hii lazima upewe mimba na vijana wa bavichaMafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta
Maadili ya Mahakama yaliwekwa kando na kutekeleza maagizo ya Mtu.Mnapenda kuangushia jumba bovu kwa wenzenu..mbona wew hutukukuona hata sku1 ukiandamana kwenda ikulu kudai hO haki...au kukuona hata ukitoa maoni kwenye video ya kulaan uonevu huo?kwan we si ni raia wa Tz...?
Hii ilivuka viwango vya ukosoajiView attachment 1833426UHURU WA KUJIELEZA HUU
Naunga mkono hoja, jaji mkuu na mkuu wa jeshi la polisi ziro lazima wawajibike na jinsi vyombo vyao vilivyokuwa vinafuata amri kutoka kwa meko.Naunga mkono. Jaji Mkuu hawezi kutenganishwa na ubinyaji haki uliofanyika 2015-21. Ni sehemu ya ufedhuli huo. The same can be said about AG, Jaji Kaijage, Jaji Mutungi, Mahera, Ndugu-gay, IGP, na DPP aliyepandishwa cheo na kuwa Jaji. Lakini kama DPP alipandishwa cheo, unafikiri Jaji Mkuu ana sababu ya kujali?
dah, nina mashaka sana uachiaji huu holela (horera?) wa hawa wahuni.........mama awe makini sana. hakuna watu wasiokuwa na shukrani km hawa. halafu kwani ni lazima ku.......?!! dah, ngoja ninyamaze kwanza ila kulaumika ni sehemu ya oungozi pia hivyo lisiogopwe hilo!View attachment 1833426UHURU WA KUJIELEZA HUU