Namshauri Ben Saanane, Siasa sio Uadui

Ushauri kwa Ben Saanane mkuu uwe unaangalia watu wa kusimamia show...sasa unaona binti anakuja kulia huku JF

Pia usisimamie show sana....Huyu binti ana stress za kutokuyapata hayo mambo siku hizi
 
Last edited by a moderator:
Hatuwezi Tukawafulahia Watu Mnaosababisha Ndugu Zetu Wamekufa Kwa Kukosa Dawa Maospalini, Watu Mnaosababisha Watoto Wetu Wanakaa Chini Mashuleni Kwa Kukosa Madawati, Watu Mnaosabisha Watu Njaa Kwa Ugum Wa Maisha, Huku Nyinyi Mkiita Milioni Kumi Hela Za Mboga, Bilion Vijisent, Laki Tano Posho La Kull, Tuanzeje Kuwa Malafiki Na Nyie Mnaocheza Na Maisha Ya Watu? Binafs Mwanamke Alie Ccm Siwezi Kumtongoza Hata Angekuwa Mzuri Kama Cleopatra, Kwahiyo Nampongeza Mawazo Kwakukukatia Mawasiliano, Hatuhitaji Urafiki Na Watu Kama Nyinyi Ususani Wakat Kama Huu.
 

Unamanisha hata wakati unaenda kuvunja ile amri sijui ya sita inayokataza kuzini ulikua unamshirikisha? Nauliza tu lakn Juliana Shonza.
 
Siasa ni uadui....kama vibaya utamalizwa.....wewe unacheza na siasa...ouko aliuwawa na moi kwasb ya siasa...wewe unakuja kutuletea ujinga hapa eti siasa ni utani,upendo....siasa ni uadui ndio maana hata lipumba alipigwa na mapolisi waliotumwa...

Nilishasema kwamba huyu mwanamke anatumia mbinu ya kuprovoke watu hapa JF ili atukanwe na atumie hilo km kigezo cha kufikiriwa viti maalum huko CCM. Othewise hakuna mwanamke anayejiheshimu anaweza kuvumilia dhalili yote hii huku chanzo akiwa yeye mwenyewe. Halaf namshangaa huyo mume anayemruhusu mke wake kujidhalilisha namna hii kwa sababu ya viti maalum. Naye atakuwa ni mme -----. Hivi viti maalum havipatikani mpaka uidhaliishe hivi. Halafu sioni ccm wenzake wakimsapoti zaidi ya 'masalia' ACT. Juliana, Inaonekana hata vjana wnzako huko ccm hawakukubali. Unasubiria tu mbeleko ya Mwigulu.

Ila natamani kumjua mume wako maana anatuabisha!
 
eee bhana naomba nikiri wazi kabisa kwamba tangu nimfahamu huyu dada sijawahi kumuona akiandika maandishi nyororo namna hii !!!
 
Ben Ben Ben unamletea stress mdada wa watu!!!!
Juliana polee kumpata Ben tena ni ngumu yuko owned. Tulia tu hivyohivyo kwa mumeo hata kama hakuridhishi.
 
Ben huu mchepuko aka mlupo ulishawahi kuupitia japo kwa bahati mbaya hapo kabla kaka?? Maana inaonekana kama amekuzimikia hivi sema hataki tu kusema.
 
Naweza kuitafsiri Thread hii kama Kuomba Msamaha...Yaan Shonza Anaomba Msamaha....Warudie urafiki....Read Between the Line..
 
Juliana shonza Ben na wewe wapi na wapi!!!?? naona umeanza kujipendekeza mapema,Ben hawezi
kushauriwa na mtu asiyejitambua kama wewe[/B]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…