navy boi
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 1,517
- 480
Nimeona hoja dhaifu ya wapinzani wanaosema kwamba hakuna tani 1.5 million za mahindi katika maghala ya serikali Tanzania nzima, hiki ni kichekesho na kichekesho hiki kinapaswa kuongewa na mtu asieijua nchi.
Sina shaka juu ya uwepo wa hizo tani zilizotajwa za mahindi.
Hizo tani za mahindi zinakamilika kwa majumuisho ya maghala manne tu ya mahindi katika kambi za JKT
Ghala namba moja Ni lile la 835 KJ Mgambo JKT Tanga chini ya major Rashid Ausi kanole
Ghala namba mbili Oljoro JKT
Ghala namba tatu ni Mlale JKT SONGEA
Ghala namba nne ni la 823 kj Msange Tabora
Kabla hatujagusa ghala la mpunga pale RUVU JKT 832 KJ
Hivi vikosi vya JKT havijawahi kupumzika hata mwaka mmoja kuzalisha mahindi, mtama, karanga, ufuta.
Wana mashamba makubwa
Mf. Shamba liloko Oljoro na Mgambo JKT liitwalo Dunia nzima
Nimshangae ndugu yangu huyu na askari mwenzangu aitwae AG 0009 service man Zitto zuberi Kabwe
Tulieshiriki nae kuzalisha mahindi huko 835 kj Tanga.
Salamba II