Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,364
- 170,395
Badala utaje tani zilizopo we unahesabu maghala....una njaa tu na wewe
Elimu x 3,maneno meeengi hewa na ugoro ndio ulichoweza kuandika lakini cha maana ninachokiona kwenye sentensi yako ni kutaka nimuelewe Zitto tu,Jenga hoja wacha kutawaliwa na hisia.Elimu elimu elimu, maneno meeengi hewa, ungemuelewa zitto japo kidogo usingeandika ugoro mrefu hivi
hata nami nashangaa chakula kuhifadhiwa jeshini. Mleta mada atakuwa anazungumzia chakula cha jeshi.
View attachment 461149 huu ni uwezo wa maghala ya taifa ya kuhifadhi chakula,yana uwezo wa kuhifadhi chini ya tani laki tatu,swali,hizo tani milioni moja na nusu zimehifadhiwa wapi? Kwenye maghala yapi?
Au wanahesabu na madebe ya mahindi majumbani kwetu?
Bra bra hataki kuvaliaMkuu weka namba. Halafu weka source. Ripoti ya uchumi ya BOT ndo anayoisemea Zitto. Sasa wewe umekuja na bla bla tu hapa huna credible source.
yani serikali iache kazi zake eti ianze kumzungusha zitto kwenye magala yake kitakuwa kichekesho cha fungua mwaka.Zito alisema atajivua ubunge kama serikali ina hizo tani 1.5m, unafikiri kajiongelea tu kama mwendawazimu?
Mkuu kwa serikali tuliyonayo hajakosea huyo resource zinaweza kuchukuliwa popote na zikawa allocated sehemu nyingine kinyume cha utaratibu na mpangikio na hakuna atakaye uliza!refer tetemeko kagera!
Zito anashangaza sana kwa kauli zake na hasa hii ya kujiuzuru ubunge kama hakuonyeshwa tani 1.5m za nafaka.Hivi ilikuwa lazima kutishia kujiuzuru ubunge kwa kutegemea taarifa alizonazo za tani 90 eifu?.Nijuavyo ana madeni ambayo anatakiwa kuyalipa kwa kupitia kazi yake ya ubunge kama alivyotoa tamko la mali zake mwezi uliopita. Kujiuzuru kwake kuna maanisha kuwa ataanza kuuza assets zake zote ili kulipa deni alilonalo au ana vyanzo vingine vya mapato?.Serikali imesema ina tani 1.5m hii inaweza kuwa katika nafaka iliyoko gharani au kama pesa ambayo haijatumika kununulia nafaka ambayo iko mikononi mwa wakulima.
Hata hivyo,Hakuna njaa ya hivyo nchini.Hakuna baa la njaa.Mkuu, maghala yote ya wakala wa chakula hapa nchini (NFRA) yanafahamika yaliko na hakuna hata moja lililoko jeshini bali yako Makambako, Kipawa, Kibaigwa, Songea na kwingineko na kamwe hakuna ghala lililoko kwenye kambi za jeshi ulizozitaja. Chakula kilichoko Oljoro, Mgambo, Tabora na hata pale 41 KJ (Majimaji, Nachingwea) ni kwa ajili ya matumizi ya askari wenyewe. Acha kuropoka kiongozi, serikali haina chakula cha kutosha kuweza kukabiliana na baa la njaa katika kipindi hiki.
Kwa kweli huyu jamaa ni muongo kupindukia. Labda hajui 1.5 million tones ni kiasi gani!!Mkuu, maghala yote ya wakala wa chakula hapa nchini (NFRA) yanafahamika yaliko na hakuna hata moja lililoko jeshini bali yako Makambako, Kipawa, Kibaigwa, Songea na kwingineko na kamwe hakuna ghala lililoko kwenye kambi za jeshi ulizozitaja. Chakula kilichoko Oljoro, Mgambo, Tabora na hata pale 41 KJ (Majimaji, Nachingwea) ni kwa ajili ya matumizi ya askari wenyewe. Acha kuropoka kiongozi, serikali haina chakula cha kutosha kuweza kukabiliana na baa la njaa katika kipindi hiki.
Acha kuchanganya habari. Hapa kinazungumziwa chakula ambacho kiko hifadhini. Sio fedha.Zito anashangaza sana kwa kauli zake na hasa hii ya kujiuzuru ubunge kama hakuonyeshwa tani 1.5m za nafaka.Hivi ilikuwa lazima kutishia kujiuzuru ubunge kwa kutegemea taarifa alizonazo za tani 90 eifu?.Nijuavyo ana madeni ambayo anatakiwa kuyalipa kwa kupitia kazi yake ya ubunge kama alivyotoa tamko la mali zake mwezi uliopita. Kujiuzuru kwake kuna maanisha kuwa ataanza kuuza assets zake zote ili kulipa deni alilonalo au ana vyanzo vingine vya mapato?.Serikali imesema ina tani 1.5m hii inaweza kuwa katika nafaka iliyoko gharani au kama pesa ambayo haijatumika kununulia nafaka ambayo iko mikononi mwa wakulima.
Nimeona hoja dhaifu ya wapinzani wanaosema kwamba hakuna tani 1.5 million za mahindi katika maghala ya serikali Tanzania nzima, hiki ni kichekesho na kichekesho hiki kinapaswa kuongewa na mtu asieijua nchi.
Sina shaka juu ya uwepo wa hizo tani zilizotajwa za mahindi.
Hizo tani za mahindi zinakamilika kwa majumuisho ya maghala manne tu ya mahindi katika kambi za JKT
Ghala namba moja Ni lile la 835 KJ Mgambo JKT Tanga chini ya major Rashid Ausi kanole
Ghala namba mbili Oljoro JKT
Ghala namba tatu ni Mlale JKT SONGEA
Ghala namba nne ni la 823 kj Msange Tabora
Kabla hatujagusa ghala la mpunga pale RUVU JKT 832 KJ
Hivi vikosi vya JKT havijawahi kupumzika hata mwaka mmoja kuzalisha mahindi, mtama, karanga, ufuta.
Wana mashamba makubwa
Mf. Shamba liloko Oljoro na Mgambo JKT liitwalo Dunia nzima
Nimshangae ndugu yangu huyu na askari mwenzangu aitwae AG 0009 service man Zitto zuberi Kabwe
Tulieshiriki nae kuzalisha mahindi huko 835 kj Tanga.
Salamba II
Si kila jambo la ajabu linafanywa au kusemwa na watu wenye matatizo ya akili tu yapo mengine yanafanywa au kusemwa na watu wenye akili timamu sasa bhasi ndo maana tunahoji uelewa na ufahamu wa huyu mtu au anapitia wakati gani kwa kipindi hiki
Kwa hoja ya ushiriki wa jkt ktk uzalishaji, uhifadhi, sina shaka hata kidogo. ..natafakari, uzalishaji mkubwa wa mahindi, na maharagwe kipindi nikihudumu jkt (1991-1992), 836kj, makuyuni...kwa hatua ambayo jeshi na taifa imepiga ktk uzalishaji , na uhifadhi bora wa vyakula hakuna ajabu jkt pekeake kuwa na akiba ya kiasi hicho. ...Nimeona hoja dhaifu ya wapinzani wanaosema kwamba hakuna tani 1.5 million za mahindi katika maghala ya serikali Tanzania nzima, hiki ni kichekesho na kichekesho hiki kinapaswa kuongewa na mtu asieijua nchi.
Sina shaka juu ya uwepo wa hizo tani zilizotajwa za mahindi.
Hizo tani za mahindi zinakamilika kwa majumuisho ya maghala manne tu ya mahindi katika kambi za JKT
Ghala namba moja Ni lile la 835 KJ Mgambo JKT Tanga chini ya major Rashid Ausi kanole
Ghala namba mbili Oljoro JKT
Ghala namba tatu ni Mlale JKT SONGEA
Ghala namba nne ni la 823 kj Msange Tabora
Kabla hatujagusa ghala la mpunga pale RUVU JKT 832 KJ
Hivi vikosi vya JKT havijawahi kupumzika hata mwaka mmoja kuzalisha mahindi, mtama, karanga, ufuta.
Wana mashamba makubwa
Mf. Shamba liloko Oljoro na Mgambo JKT liitwalo Dunia nzima
Nimshangae ndugu yangu huyu na askari mwenzangu aitwae AG 0009 service man Zitto zuberi Kabwe
Tulieshiriki nae kuzalisha mahindi huko 835 kj Tanga.
Salamba II