Namshangaa huyu jamaa

Sep 27, 2015
83
15
Habar wadau..
Juzi niliweka uzi wangu ktk love connect cha ajabu kuna jamaa amenifuata inbox na kunitolea matusi makubwa sana..
Aliniomba namba ya simu akanifuata wasap ni kunitukana matusi makubwa sana..
Sasa kama mko tyar niwawekee namba yake
 
Back
Top Bottom