Namshangaa huyu jamaa yetu Jokolilo

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,707
71,003
Huyu jamaa yetu Jokolilo alikuwa rafiki yetu sana mimi bonge na makame, Jokolilo ni mrefu kwa umbile kutuzidi mimi na makame, huwa anapenda sana kujiita kuwa yeye ni mlingoti mrefu kutuzidi sisi,

Kwa ujumla Jokolilo ana madharau sana kwa sababu mara nyingi huwa anatupa sapoti kifedha kwa mambo mbalimbali basi anajiona kama malaika, hata tukiwa tunajitwanga na pombe anataka kuongea yeye tu kama vile yeye ndiye mwenye akili peke yake,

Halafu kinachoudhi ana kicheko huwa anajilazimisha kucheka ukimuona anavyocheka utadhani baboon anakula mahindi, tulivyoona anatuzuia kuongea na anataka kuongea yeye tu peke yake tukaamua kwenda studio kurekodi maigizo na nyimbo mbalimbali ili tujiburudishe kimyakimya bila kuongea ili tumfurahishe,

Sasa cha kushangaza amewatuma sungusungu na kumweka ndani mmiliki wa studio leo ni siku ya tatu, kwa sasa tunasali kumuombea huyo mmiliki wa studio ili aachiwe, sasa hatujui tufanye nini ili tujiliwaze, ila tuna hasira sana na huyu Jokolilo
 
downloadfile-5.jpeg

swissme
 
J

Halafu kinachoudhi ana kicheko huwa anajilazimisha kucheka ukimuona anavyocheka utadhani baboon anakuwa mahindi, tulivyoona anatuzuia kuongea na anataka kuongea yeye tu peke yake tukaamua kwenda studio kurekodi maigizo na nyimbo mbalimbali ili tujiburudishe kimyakimya bila kuongea ili tumfurahishe,

Sasa cha kushangaza amewatuma sungusungu na kumweka ndani mmiliki wa studio leo ni siku ya tatu, kwa sasa tunasali kumuombea huyo mmiliki wa studio ili aachiwe, sasa hatujui tufanye nini ili tujiliwaze, ila tuna hasira sana na huyu Jokolilo
Teh teh Mkuu huyu jokolilo si ndiye pogba!
 
Huyu jamaa yetu Jokolilo alikuwa rafiki yetu sana mimi bonge na makame, Jokolilo ni mrefu kwa umbile kutuzidi mimi na makame, huwa anapenda sana kujiita kuwa yeye ni mlingoti mrefu kutuzidi sisi,

Kwa ujumla Jokolilo ana madharau sana kwa sababu mara nyingi huwa anatupa sapoti kifedha kwa mambo mbalimbali basi anajiona kama malaika, hata tukiwa tunajitwanga na pombe anataka kuongea yeye tu kama vile yeye ndiye mwenye akili peke yake,

Halafu kinachoudhi ana kicheko huwa anajilazimisha kucheka ukimuona anavyocheka utadhani baboon anakula mahindi, tulivyoona anatuzuia kuongea na anataka kuongea yeye tu peke yake tukaamua kwenda studio kurekodi maigizo na nyimbo mbalimbali ili tujiburudishe kimyakimya bila kuongea ili tumfurahishe,

Sasa cha kushangaza amewatuma sungusungu na kumweka ndani mmiliki wa studio leo ni siku ya tatu, kwa sasa tunasali kumuombea huyo mmiliki wa studio ili aachiwe, sasa hatujui tufanye nini ili tujiliwaze, ila tuna hasira sana na huyu Jokolilo
Tafsida tamu ngoja nichukue kigoda niketi kwa saburi na tuo
 
Mimi niliwahi kusema na narudia tena,

Ule ulimbo ulitengenezwa ni batili,

Wachonga ulimbo wana akili ndogo kama za sisimizi zinazowawezesha kusema NDIYOOO!

Ndege wa leo wana akili kuliko za wachonga ulimbo.

Ndege wanadonoa punje za chambo na kusepa huku Baboon akijilazimisha kucheka.
 
Huyu jamaa yetu Jokolilo alikuwa rafiki yetu sana mimi bonge na makame, Jokolilo ni mrefu kwa umbile kutuzidi mimi na makame, huwa anapenda sana kujiita kuwa yeye ni mlingoti mrefu kutuzidi sisi,

Kwa ujumla Jokolilo ana madharau sana kwa sababu mara nyingi huwa anatupa sapoti kifedha kwa mambo mbalimbali basi anajiona kama malaika, hata tukiwa tunajitwanga na pombe anataka kuongea yeye tu kama vile yeye ndiye mwenye akili peke yake,

Halafu kinachoudhi ana kicheko huwa anajilazimisha kucheka ukimuona anavyocheka utadhani baboon anakula mahindi, tulivyoona anatuzuia kuongea na anataka kuongea yeye tu peke yake tukaamua kwenda studio kurekodi maigizo na nyimbo mbalimbali ili tujiburudishe kimyakimya bila kuongea ili tumfurahishe,

Sasa cha kushangaza amewatuma sungusungu na kumweka ndani mmiliki wa studio leo ni siku ya tatu, kwa sasa tunasali kumuombea huyo mmiliki wa studio ili aachiwe, sasa hatujui tufanye nini ili tujiliwaze, ila tuna hasira sana na huyu Jokolilo
Jokolilo anafanana na ndege fulani hivi huko mbeya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom