Mkuu huyu Jokolilo ana madharau sana, tunamtafutia dawa yakeMkwepa kodi unatisha sana
Tunamtafutia dawa yakejakolilo anatupa tabu kweli
barabara alijenga mkwere..yy alisimamia tuuuu..fedha za mradi hakutafuta yy..acha kutafuta udc kindeziChadema mawakala wa mafisadi wanapoteza muda wao bure tu.
Magufuli alipoahidi kujenga barabara ya lami kutoka mtwara mpaka bukoba, kama kawaida mafisadi chadema walijitokeza kuponda kwamba hiyo ni ndoto ya mchana.
Lakini leo chadema hao hao wanatumia hiyo lami kwenda kila kona ya nchi kueneza majungu na uzushi wa kishetani,
Shame on you