namshangaa erick52 siku hizi!!!

ummu kulthum

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
2,785
1,317
ni wiki ya pili sasa nachunguza mwenendo wake umebadilika kabisa na nyinyi wanacc mtakubaliana na mimi,kwa hoja hii kwamba akija humu hakai wala hasalimii anakuja kutoa like haraka af anasepa, kwa yeyote na popote chuguzeni mtangundua tu!

like anatoaje huyu mtanashati erick52
1. kwenye msiba like
2. kwenye ugojwa like
3. anaomba msaada like
4. mapenzi like
5. amepewa talaka like
6. amekataliwa like
af hapo hacomment chochote huyo anaenda zake, nahisi anamatatizo na hatuna budi kumsaidia ndugu yetu kama ile biashara imekwama sema tutakuchangia kama wifi kakutimua na rambo yako sema tukusaidie
comment zako ni muhimu kuliko like.

Unajua dogo Erickb52 anaishi jirani na ziwa nyasa, nahisi sahv anafanya mpango wa kukimbia pande zile kabla hakijanuka. .
 
Last edited by a moderator:
dah shem njoo bana mi navyokuelewa kwakweli hili ni kwelii kabisaaa mi hata nataman mambo yawe ka mwanzo
 
...mnamuulizia nani eti?
kapata kazi kwa mhindi...si unajua mziki wa wahindi...ilo moja!
pili Erickb52 amefumaniwa usiku wa kuamkia j5
 
Last edited by a moderator:
Ana mawazo nyumba yake aliyojenga kwa mafao ya kustaafu kazi imewekwa X na watu wa Mhe Sana wa barabara so iko kwenye mpango wa kupigwa greda na hana kazi. Huoni huo ni mpango wa kumrudisha kijijini kabisa
 
ni wiki ya pili sasa nachunguza mwenendo wake umebadilika kabisa na nyinyi wanacc mtakubaliana na mimi,kwa hoja hii kwamba akija humu hakai wala hasalimii anakuja kutoa like haraka af anasepa, kwa yeyote na popote chuguzeni mtangundua tu!

like anatoaje huyu mtanashati erick52
1. kwenye msiba like
2. kwenye ugojwa like
3. anaomba msaada like
4. mapenzi like
5. amepewa talaka like
6. amekataliwa like
af hapo hacomment chochote huyo anaenda zake, nahisi anamatatizo na hatuna budi kumsaidia ndugu yetu kama ile biashara imekwama sema tutakuchangia kama wifi kakutimua na rambo yako sema tukusaidie
comment zako ni muhimu kuliko like.

Tuwaombe wabunge wajadili suala la mafao mapema ili kumnusuru mwenzetu
 
Mbona ana li-sugarmummy! Kama mwezi sasa, halitaki acoment, kalipata humu humu jamvini! Lol, chezeiya mautamu na kudekezwa na jimama!
 
Just Me saying Hi.jpeg
ummu kulthum najua nimepotea kweli ila niko pamoja nanyinyi kwa kila comment humu jukwaani wa usijali ma dia!
Naomba uwaambie rafiki zangu Mr Rocky the Secrecretary cacico Madame B BAGAH wakati ndio sasa Bishanga Asprin Remmy sweetlady Catherine Arushaone Mwali Judgement shem wangu beibe nasty ruttashobolwa dogo Mtalingolo kuwa Mi mzima kabisa....sina tatizo lolote nawamiss sana na nawatakiwa weekend njema!
Tutaendelea kuwa pamoja daima kama ilivyo sasa!
ByeeeeNew.jpeg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom