Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,999
- 35,458
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie akuoe. Mwandiko wa kike shwaini
[emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie akuoe. Mwandiko wa kike shwaini
Upo sahihi sanaHuwa wanavumilia siku wakisema enough is enough basi,huwa hawana point of return. Wenyewe wanasema moyo wao ni kitabu,ukimzingua anafungua ukurasa mpya life linaendelea. Sasa siku kitabu kikifika mwisho Sasa atafungua wapi Tena ama nakosea akina dada
hahahaaaaa aiseee nmecheza hako kamchezo kwa ccta angu jmn dada angu yeye alikuwa hampendi shemeji yangu afu mm ndo namtaka awe shemeji yang nachukua hela na zawad afu dada yangu anazikataa naomba vtu ambavyo hata dada havijui vinakuwa vyangu umenikumbusha mbaliMgeuze shemeji ako fursa, muombe nauli ya kwenda kwa sista, kesho mwambie sista bado anamfikiria, muombe hela labda umpelekee zawadi sista....hizo hela ni zako lakini.
hapa mjini sio pa kukaa kizembe.
Sahihi 100% kabisaa!!yaani nikisema enough namaanisha yaani!wanawake wakichoka wamechoka!!Huwa wanavumilia siku wakisema enough is enough basi,huwa hawana point of return. Wenyewe wanasema moyo wao ni kitabu,ukimzingua anafungua ukurasa mpya life linaendelea. Sasa siku kitabu kikifika mwisho Sasa atafungua wapi Tena ama nakosea akina dada
Sio kweli ukute hana ht bwana ametulia tuli na hana mpango kabisaa!!!Mwambie sista amsamehe.
Shida sista hakuwashirikisha wakati wa matatizo labda mngemsaidia kuongea na kumtuliza shem, sasa sista kayabeba peke yake yamemshinda. Mwambie akupe nafasi uwapatanishe, kumbukeni kupatana ni bora kuliko kutengana
Shida ukute sista kapata lijamaa lingine linasimamia kucha saa hizi shenzi taipu, akili haioni haisikii.
kabisaa wizoo!si rahisi hvyoo yaani wamuache tu!ccta wako ana hasira muache atulie kwanza hasira ziishe !
mie zamani sana kutumwa kwa kuandikiwa kibarua, lazma nikifungue niedit kama ni hela naedit naongeza nikipewa nyingi hicho cha juu changu....hahahaaaaa aiseee nmecheza hako kamchezo kwa ccta angu jmn dada angu yeye alikuwa hampendi shemeji yangu afu mm ndo namtaka awe shemeji yang nachukua hela na zawad afu dada yangu anazikataa naomba vtu ambavyo hata dada havijui vinakuwa vyangu umenikumbusha mbali
kwakwel fursa kwel afu ukute shemej mambo safi jmn hakuna rangi utaacha kuiona cctamie zamani sana kutumwa kwa kuandikiwa kibarua, lazma nikifungue niedit kama ni hela naedit naongeza nikipewa nyingi hicho cha juu changu....
huyu jamaa huyo shemeji ni bonge la fursa
Kabisa waniache atulize akili kwanzakabisaa wizoo!si rahisi hvyoo yaani wamuache tu!
Hawajui kua nyumba ni mke, afu huyo jamaa si achukue mchepuko mmoja amuweke ndani![emoji848]kama rahisi
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app