Namsaidiaje huyu shemeji yangu?

Namsaidiaje huyu shemeji yangu?

Ni hivi!

Huyu ni shemeji yangu alimuoa dada na walibahatika kupata 2 kids. Bahati mbaya ccta akaugua sana na akapoteza uwezo wa kubeba mimba tena. Aliugua kwa muda so hata kazi alipoteza, akawa mama wa nyumban

Sasa jamaa akaanza kubadilika tabia, michepuko kwa sana, akajisahau hata kumhudumia mkewe, muda mwingi hayupo home na akirudi hana time na mkewe. Ugomvi ukaanza na amani ikapotea nyumbani

Dada alijitahidi sana kuficha kinachoendelea kwenye ndoa yake, huku nje tuliona kama anaenjoy maisha kumbe anapitia shida sana. Mwishowe uvumiliv ukamshinda akapanga jambo lake. Akafanya bidii kujishusha na kuomba misamaha hata isiyofaa ilimradi tu amani irejee. Alifanikiwa, amani ililejea kiasi kwenye ndo yake.

Siku ya tukio alimuomba mumewe amtoe out, mume alikubali wakatoka jioni. Kumbe siku hiyo mchana Dada alifanya usafi heavy kwenye nyumba yao, alipanga kila kitu na akawa amepack vitu vyake vyote.

Waliporudi jamaa alikua amelewa so akalala fofofo. Alfajiri ccta alisepa na nguo chache tu na akamwachia kimemo kwamba anaondoka anaomba nguo zake zote zilizobaki azichome moto.

Jamaa kuamka akajua utani, piga simu akaambiwa tu Imekwisha nae kwa jeuri akasema poa akijua mwanamke hana lolote atarudi tu.
Sasa mambo yanamwendea ndivyo sivyo, ni kama amepata mkosi, uchumi unayumba hata michepuko sasa inamkimbia

Ameomba msamaha sana kwa dada ila imeshindikana, dada amemwambia aliposema Imekwisha alimaanisha. Sasa jamaa kaja kwangu kunipigia magoti nimsaidie kumwombea msamaha, lakini dada hataki kusikia chochote, ameshamove on na ana mishe zake

Jamaa ananisumbua mimi nimsaidie, lasivyo atajiua maana kila kitu kimehatibika. Namsaidiaje huyu jamaa ,maana kama ni kuongea na ccta alishanimbia ameshtapika, there is no way akalamba matpishi
Anaomba msamaha sababu mambo yake yanaenda kombo sio kwa sababu anampenda dada ako. Sasa kama unataka kumuuza ndugu yako endelea kumsaidia shemej yako kumuombea msamaha.
 
Ccta kama ulivoandika alipona? Huyo dada yako hajielewi, kwahiyo alivohudumiwa akapona/akapata nafuu ndo akatokomea?
 
akodi vibrator
 
Back
Top Bottom