Yes ndo ugonjwa wenyeww unarudoarudia actiomObsessive Compulsive Disorder?
Kweli?
Tafuta second opinion ya daktari mwingine wa maswala ya saikolojiau.
Boarding haizoofishi Akili, wote waliosoma boarding wengekuwa wagonjwa.Naombeni kuuliza OCD husababishwa na kuishi sehemu zenye sheria Kali sana kama shule za boarding!? Kwn akili inakuwa inadhohofika
Vipi ndugu upande wako upo vipi au ntaweza pata mawasiliano yakoMkuu asante kwa kurahisisha kazi nilitaka kuanzisha uzi juu ya OCD, kiukweli wahanga tupo japo kwa level tofauti kwa upande wangu sijafikia extreem level kabisa ila nimeanza kutafakari mambo nilioyapitia na reaction zangu huko zamani i can relate kuwa hili jambo nipo nalo zamani bila kujua mpaka pale nilipoanza kusoma na kufahamu juu ya OCD,Nadhani tunaweza kulipuuzia lakini halina mwisho mwema kabisa.
Naomba uniconnect na huyo rafiki yakoHabari za asubuhi wadau,
Nina rafiki yangu anasumbuliwa na tatizo ambalo mwanzo lilianza kama utani.
Yaani tulipokuwa tunasoma naye alikuwa ananiambia kila nikijibu mitihani nakuwa sijiamini hasa hesabu yaani hata 2+8 jibu ni kumi, ila yeye anaweza kukaa hata dakika tano anakuwa kama anajiuliza hivi jibu hili ni kweli? Na mara nyingi alikuwa hamalizi mtihani.
Baadae akawa akitaka kulala anajiuliza nimefunga mlango kweli yaani anaweza kurudi hata mara tatu kuhakikisha. Alipoenda chuo kusomea Udaktari hali ikazidi anakuwa na mawazo.
Mara anajihisi amemtukana Mungu anaogopa adhabu ya Mungu. Hali hiyo ikamsumbua kiasi cha kuahirisha masomo slipopelekwa hospital hizi za kawaida walisema hawaoni tatizo eti mtu lazima uwaze.
Tukaona twende kwenye hospitali za watu wenye matatizo ya akili tukakutana na dokta akasema huo ni ugonjwa unaoitwa OCD.
Wakatupa dawa na maelekezo mengine ila kwa sasa karudi chuo lakini naona kama tatizo bado lipo kwani bado nikiongea naye ananiambia kuwa anatumia nguvu kubwa sana kwenye kujisomea mawazo yanakuwa mengi.
Labda mnisaidie njia za kumsaidia.
Mkuu natamani nikuone unisaidie kama umeweza kuishinda hii hali. Mimi ni mhanga wa anxiety disorderTatizo la akili ni gumu sana.
mimi binafsi nina Anxiety disorder tena wakati mwingine napatwa na Panic attack hii ikikukuta mkuu unaandika wosia maana unahisi kama unakufa unaweza kuanza kukimbia tu bila sababu watu wakakushangaa/au unatetemeka yani unakua kama umepandwa na pepo , Akili yako mwenyewe inaweza kukuchezea ukaiona dunia Chungu sana.
Mkuu kwanza Rafiki yako lazima ajue kuwa hayuko pekeyake kila mtu ana matatizo ya akili ila yanazidiana tu. kila anapopatwa na jambo Inabidi Arelax kurelax ni dawa kubwa, japo kurelax ukiwa katika aina yoyote ya Disorder ni jambo gumu kama kushinda vita
Mimi nina kama lako ila kwangu imeongezka nakuwa natetema sana halafu nina woga sana. Yaan hii imenipelekea kuwa nawakimbia watu. Kazini namuogopa karibia kila mtu hata wale ambao tuko level moja. Kutokana na kutojiamini nimekuwa muongo sana hasa pale napohisi nimekosea lazima nitadanganyq tuTatizo la akili ni gumu sana.
mimi binafsi nina Anxiety disorder tena wakati mwingine napatwa na Panic attack hii ikikukuta mkuu unaandika wosia maana unahisi kama unakufa unaweza kuanza kukimbia tu bila sababu watu wakakushangaa/au unatetemeka yani unakua kama umepandwa na pepo , Akili yako mwenyewe inaweza kukuchezea ukaiona dunia Chungu sana.
Mkuu kwanza Rafiki yako lazima ajue kuwa hayuko pekeyake kila mtu ana matatizo ya akili ila yanazidiana tu. kila anapopatwa na jambo Inabidi Arelax kurelax ni dawa kubwa, japo kurelax ukiwa katika aina yoyote ya Disorder ni jambo gumu kama kushinda vita
Pole, mimi inakaaga inanirudia ila niko kwenye process ya kuimaliza kabisa... Kwakua unasumbuliwa na hii hali niko tayari kukuona maana najua jinsi gani inavyodrain energy ya mtu ... usijali sana healing ni process kinachotakiwa usikate tamaaMkuu natamani nikuone unisaidie kama umeweza kuishinda hii hali. Mimi ni mhanga wa anxiety disorder
Ni kawaida ya anxiety mpenzi... unachokiogopa huwa kinakutawala!Mimi nina kama lako ila kwangu imeongezka nakuwa natetema sana halafu nina woga sana. Yaan hii imenipelekea kuwa nawakimbia watu. Kazini namuogopa karibia kila mtu hata wale ambao tuko level moja. Kutokana na kutojiamini nimekuwa muongo sana hasa pale napohisi nimekosea lazima nitadanganyq tu
Mimi huu ni mwaka wa tatu. Nililazimika kuacha masomo kwa ajili ya tatizo hili, niliogopa kusafiri, niliogopa kujumuika na watu, niliogopa kula, muda wote nahisi kama nakufa dakika chache zijazo.... Mwanzo nilijua nimepata heart attack, mpaka nikakimbizwa hospital na ambulance.... Zile dalili nilikuwa nazo ndio madaktari wakasema ni panic attacks, nikaanzishwa dose za anti depressants... Nikimaliza dose baada ya muda nikipitia changamoto yeyote tatizo linarudi.Ni kawaida ya anxiety mpenzi... unachokiogopa huwa kinakutawala!
Hata mimi nmeshaga tetemeka sana kama nmepandwa na pepo, nmeshaliaga sana... nmesha ogopa watu na mengine makubwa kuliko unavyodhani ila niko kwakua kabla hujafa tumaini lipo na amani ipo pia ..
usijali utakua sawa kabisa
Jamani Pole Cathy hili swala linaweza kwisha kabisa..ila ni processMimi huu ni mwaka wa tatu. Nililazimika kuacha masomo kwa ajili ya tatizo hili, niliogopa kusafiri, niliogopa kujumuika na watu, niliogopa kula, muda wote nahisi kama nakufa dakika chache zijazo.... Mwanzo nilijua nimepata heart attack, mpaka nikakimbizwa hospital na ambulance.... Zile dalili nilikuwa nazo ndio madaktari wakasema ni panic attacks, nikaanzishwa dose za anti depressants... Nikimaliza dose baada ya muda nikipitia changamoto yeyote tatizo linarudi.
Mpaka nimeamua kukaa mbali na familia yangu maana kuna sehemu wanachangia huku wakinisimanga kuwa matatizo nimejitakia mwenyewe
Pole sana..Mimi huu ni mwaka wa tatu. Nililazimika kuacha masomo kwa ajili ya tatizo hili, niliogopa kusafiri, niliogopa kujumuika na watu, niliogopa kula, muda wote nahisi kama nakufa dakika chache zijazo.... Mwanzo nilijua nimepata heart attack, mpaka nikakimbizwa hospital na ambulance.... Zile dalili nilikuwa nazo ndio madaktari wakasema ni panic attacks, nikaanzishwa dose za anti depressants... Nikimaliza dose baada ya muda nikipitia changamoto yeyote tatizo linarudi.
Mpaka nimeamua kukaa mbali na familia yangu maana kuna sehemu wanachangia huku wakinisimanga kuwa matatizo nimejitakia mwenyewe
Huwezi kuhakikisha kwamba ni ugonjwa huo kwa kusoma tu, ni lazima ukamwone daktari halafu akuambie kama ni kweli au la. Wao wanakuwa na vipimo au masuali yao wanayokuuliza halafu ndiyo wanakwambia kwamba uko sawa au la.Nilisoma soma Jf /Google nikagundua kuwa nna hilo tatizo, sijawahi kutumia dawa yoyote nahangaikaga mpaka nakua sawa,
Tiba hasa ni kutojiweka karibu na vitu vinavyokutia woga pamoja na hizi mada unazochangia,Kwakua imeshakua trauma hata vitabu vinavyoelezea badala vikupunguze ndio vinazidisha.
Uwe na furaha mda mwingi
Chukulia poa usichukulie kama tatizo kuubwa.
familia zetu changamoto sana zinazidisha matatizo mno, unaweza jikuta unamchukia kila mtuPole sana..
Hili tatizo linahitaji utulivu mno na kutiwa
moyo..sasa familia zetu hizi wengi
hawama uelewa huo... Nimeona wengi
wanaishi vibaya sana ...ni kama
wanatengwa!
Jitahidi ujifunze kujituliza kwa kuongea na
nafsi yako kimya kimya.. na kujipa moyo.
Fanya na kuangalia vitu vinavyo
kufurahisha...jiamini .. ...angalia pia na tiba
mbadala..zinasaidia..