Nampongeza naibu waziri agrrey mwanri

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Kwa wiki kama mbili hivi,naibu waziri wa Tamisemi Mh.Agrey Mwanri alikuwa na ziara kanda ya ziwa.Kwa upande wangu napenda kumpongeza huyu waziri kwa kazi nzuri kidogo aliyoonyesha kule Mwanza...Baada ya kutembelea shule ile ya watu wenye mahitaji muhimu na kukuta mkandarasi kapiga dili na watu wa jiji waziri halithubutu kuzuia malipo yasifanyike.Ni watu wachache kwenye serikali hii wanaweza fanya maamuzi kama hayo japo ni madogo sana....Napenda kukupongeza......
:decision:[Nothing impossible under the sun.......]
 
Katika yoote we umeona hilo tu. kwani ni sh ngapi kazuia?
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, huyu jamaa anafanya kazi na amekuwa knye systm muda mrefu hatujasikia kashfa kama wale wengne!
 
Back
Top Bottom