Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Kingereza ni lugha ya kikoloni. Mm nimemkubali jamaa sana na kafanya fresh sana kuomba kuhojiwa kwa kiswahili kuliko kujitutumuakuongea lugha za watu. Ni kama mchezaji wa Uingereza ambaye hajui kihispania ama kireno.
Big up sama mbwana samatta
Big up sama mbwana samatta