Nampongeza Mbwana samata man of te match kwa kuhojiwa kwa kiswahili

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Kingereza ni lugha ya kikoloni. Mm nimemkubali jamaa sana na kafanya fresh sana kuomba kuhojiwa kwa kiswahili kuliko kujitutumuakuongea lugha za watu. Ni kama mchezaji wa Uingereza ambaye hajui kihispania ama kireno.
Big up sama mbwana samatta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom