Akubali kwani alikataa au yeye nimtumishi wa serikali mkagueni sizonje kwanzaUnatumia nguvu kubwa saana kuelezea jambo usilolijua...
Nimesema akubali kukaguliwa... hayo mengine mnayaongeza ninyi
Nabado hadi mjambegwajima ni muhimu kabisa kufuatilia nyendo zake. huyu sio raia wa kawaida...mchungaji si mchungaji mwanasiasa si mwanasiasa. mfanyabiashara..labda. ni kitu hakieleweki.
Tatizo la kukosa malezi ya wazazi loinaonekana kwenye post yako.Umepost upuuzi na umbea then umekaa unasubiri likes za kujadili maisha na mambo ya mtu binafsi!
Badala ya kuwaza na wewe utanunua vipi japo Bajaji, unawaza kuchunguza wanaume waliofanikiwa. Tabia za kimama!
Upo nchi gani? Usibishe vitu usivyokua na uhakika nenda kwenye IG page yake utapata jibu
Gwajima ana vitabu zaidi ya 40 na kitabu kinauzwa mpaka $20.Anauza mpaka Japan,ana vitabu sita vya kijapani.Kama waumini wake watanunua bila shaka utaona ni kwa jinsi gani anaingiza pesa.AKAGULIWE KWA FEDHA ALIZOCHANGWA NA WAPUMBAVU AU KAMA ANA BIASHARA NYUMA YA PAZIA?
Kenneth copelandAnaitwa nani???
uelewa wako wa "UTAKATISHAJI" ni wa mlengo mwingine.Rudi darasaniNampongeza kwa ununuzi wa ndege mpya nzuri ambayo kwa mujibu wake anasema itamsaidia kwenye kueneza Injili...
Je atakuwa tayari kuruhusu wakaguzi wa hesabu na SFO wahakiki kuwa hakuna utakatishaji wa fedha unaofanyika hapo...
Wenye maana watakuwa wamenielewa
Wasi kubabaishe mkuu. Umeuliza jambo la busara. Anayetaka kuku elewa ataku elewa. Asiye taka ndiyo hivyo ina kuwa shida. Endelea mkuu tuko pamoja.Unatumia nguvu kubwa saana kuelezea jambo usilolijua...
Nimesema akubali kukaguliwa... hayo mengine mnayaongeza ninyi
Pia naongezea ajira ngapi amezalisha?Unatumia nguvu kubwa saana kuelezea jambo usilolijua...
Nimesema akubali kukaguliwa... hayo mengine mnayaongeza ninyi
Watu wenye akili sanaChadema kaziyenu kutetea wahalifu....kama hana shida kwanini asiwe tayari?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo tayariAmetilia shaka ukwasi alionao. Je yupo tayari kukaguliwa uhalali wa transactions. Hats Escobar alikuwa tajiri.