Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,497
- 38,347
wabongo wa wivu hamjambo,vipi hapa hao SFO WALIHUSIKA
![]()
Uchochezi huu.
wabongo wa wivu hamjambo,vipi hapa hao SFO WALIHUSIKA
![]()
[emoji102] sina hakika
nani kati ya hao wawili unataka kuwajuaAnaitwa nani???
Unatumia nguvu kubwa saana kuelezea jambo usilolijua...
Nimesema akubali kukaguliwa... hayo mengine mnayaongeza ninyi
AKAGULIWE KWA FEDHA ALIZOCHANGWA NA WAPUMBAVU AU KAMA ANA BIASHARA NYUMA YA PAZIA?Unatumia nguvu kubwa saana kuelezea jambo usilolijua...
Nimesema akubali kukaguliwa... hayo mengine mnayaongeza ninyi
Shambulia hoja
ukimshambulia mtoa hoja unakuwa umejitukana mwenyewe. Inawezekana ukawa umemshambulia baba yako mzazi
Acha mawazo ya kimaskini, kununua ndege ndiyo achunguzwe. Kuna msanii anaitwa jagwa alinunua ndege na hajawai kuchuguzwa,
Mawazo ya kipumbavu ya kuwaza kuwa kila mtu anastailikuwa maskini aliyatumia nyerere kutaifisha mali za watu bila makosa na hadi leo hatujui alifanikiwa vipi .
Ukiwaza kuwa umaskini ni uzalendo na utajiri ni ufisadi juwa kuwa wewe ni mpumbavu kama wale sizonje alisema
Mawazo hayahaya yanatumika dhidi ya Manji nawengineo, kama waliokata na kuharibu greenhouse za mbowe
Ametilia shaka ukwasi alionao. Je yupo tayari kukaguliwa uhalali wa transactions. Hats Escobar alikuwa tajiri.Sijaona point ulioandika hapo.
Wenye maana wameelewa.Sijaona point ulioandika hapo.
Sadaka kutoka kwa waumini maskini. Toa ndugu, toa ndugu, ulicho nacho bwana anakuona hadi mfukoni/moyoni.kwa hawa wachungaji sio suala la kushangaza kwanza gwajima hadi hapo bado masikini sana ukimlinganisha na wababe wachache tu wa nigeria au dogo wa malawi/SA.
kuna jamaa US ni mchungaji anaishi kwenye eneo la hekari 1000 humohumo kuna airstrip.
usicheze na sadaka mkuu
Upo nchi gani? Usibishe vitu usivyokua na uhakika nenda kwenye IG page yake utapata jibuGwajima hajanunua ndege..na hajawahi kusema amenunua ndege
Kwanini usishauri wakaguzi waanze kukagua bajeti zetu tunazotumia ndani ya nyumba zetu?.Je atakuwa tayari kuruhusu wakaguzi wa hesabu na SFO wahakiki kuwa hakuna utakatishaji wa fedha unaofanyika hapo...
Kwani hiyo ndege kainunua UK mpaka SFO waishughulikie?Nampongeza kwa ununuzi wa ndege mpya nzuri ambayo kwa mujibu wake anasema itamsaidia kwenye kueneza Injili...
Je atakuwa tayari kuruhusu wakaguzi wa hesabu na SFO wahakiki kuwa hakuna utakatishaji wa fedha unaofanyika hapo...
Wenye maana watakuwa wamenielewa
Chadema kaziyenu kutetea wahalifu....kama hana shida kwanini asiwe tayari?Sijaona point ulioandika hapo.