Nampenda sana Sky Eclat

Hii ni scramble for partition Mkuu. Nimeshaingia PM kwake kitambo
Kuingia PM siyo ishu Mkuu.

Inabidi atumie principle ya FIFO(First in First Out).

Kwa vile Mimi ndiyo nimeanza kuonesha nia mapema itabidi aniangalie kwanza!
 
Sky Eclat anaweza kuwa nae ame-feel something unusual, anajiuliza ujasiri wa huyu jamaa umejengwa katika msingi upi wa upendo, anataka kumake headline tu au ni pendo la dhati. Naamini anayatafakari maneno ya Gentleman na anayatafutia majibu. Naamini atampa majibu sahihi eidha hapa jukwaani au popote atakapoona inafaa. Kila laheri kwa wote.
 
Binti wa Kwamtogole Sky Eclat unaitwa huku kuna mshefaa anataka kukutoa kimaso maso mwanangu usimuone akuhamishe kwenye chumba kimoja ili uhamie kwenye zile apartments kali za vyumba vitatu Upanga/Oysterbay.
 
Mkuu unaweza kunitoa Kwamtogole lakini kuitoa Kwamtogole ndani yangu ni shughuli, ajiandae kucheza mdundiko siku ya Birthday yangu hayo mambo ya DJ weka vitu huku hatuna.
 
Haya kazi kwako lakini ujue fika tabia nyingine za kwa mtogole kule Upanga au Oyestrbay hazikubaliki hivyo kama unazo hizo ziache huko huko kwa mtogole kama utatolewa kimaso maso mwangangu usimuone vinginevyo zile apartments bab kubwa na zenye kila kitu ndani utaziona chungu na kutamani urudi tena kwenye chumba chako kimoja kwa mtogole maji shida, umeme shida kelele mtindo mmoja 24/7o_Oo_Oo_O

Mkuu Oyster Bay na Upanga ninawaachia mamasiter do. Kule nikichoma kipande cha nguru wataita fire brigadier wakati huku kwetu kipande cha nguru unamalizia ugali wa mchana .
 
Hahahahahahaha lol! binti wa kwa mtogole ugali wake shurti kwa kipande cha nguru wa kuchoma na ndimu yenye chumvi :):):)

Mkuu Oyster Bay na Upanga ninawaachia mamasiter do. Kule nikichoma kipande cha nguru wataita fire brigadier wakati huku kwetu kipande cha nguru unamalizia ugali wa mchana .
 
Sky Eclat anaweza kuwa nae ame-feel something unusual, anajiuliza ujasiri wa huyu jamaa umejengwa katika msingi upi wa upendo, anataka kumake headline tu au ni pendo la dhati. Naamini anayatafakari maneno ya Gentleman na anayatafutia majibu. Naamini atampa majibu sahihi eidha hapa jukwaani au popote atakapoona inafaa. Kila laheri kwa wote.
Well said brother!

Appreciated!
 
Back
Top Bottom