[emoji17] [emoji17]
wewe sio kichwa kichafu bali kichwaaaaaaaaMkuu kumbuka makato ya TRA 35%
Kumpenda 45%
Akiba ya upendo 20%.
Ukimpenda asilimia 100% utarudi unalia humu
Nashukuru kuadmire my request let me struggle with my weather[emoji17] [emoji17]
namba 3 ndo kila kitu
Aisee kumbe kunawatu wanajua kupenda kiasi hiki....Huyu mwanamke ningekuwa na uwezo wa kununua kisiwa mathalan kile cha mafia ningekinunua na kuwahamisha watu wote ili tuishi mimi na yeye tu.
Nimfanyie mambo gani ili anipende peke yangu nawengine awaone kama mnyama haramu aliyekatazwa katika vitabu vitakatifu
uwiiiii ungeanza na Mungu aisee.Ogopa kulizwa na mapenzi wewe dume bhana kaza mkono mimi mke wangu mkubwa ni account yangu ya bank pili watoto wangu Tatu wazazi nne Mungu wangu, mwanamke siyo ndugu yako that's y mapenzi yamekuwa Sanaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
What you mean[emoji15]
Mpendwa habariwewe sio kichwa kichafu bali kichwaaaaaaaa
Mchukue ukaishi nae mwezini, ni nyie tu!Huyu mwanamke ningekuwa na uwezo wa kununua kisiwa mathalan kile cha mafia ningekinunua na kuwahamisha watu wote ili tuishi mimi na yeye tu.
Nimfanyie mambo gani ili anipende peke yangu nawengine awaone kama mnyama haramu aliyekatazwa katika vitabu vitakatifu
Umeeleweka miguu juu mamaUsimwamini mwanamke, narudia tena usije kumwamini mwanamke 100%..
Ukiwa nae play your part ila akikupa mgongo changanya miguu fanya yako..
Mkuu naomba ayseeMpe limbwata la maiti... (ohoo nataka kutoa siri ya kuliza wanaume wenzangu)
Njoo pm nikupe elim flani hivi .Huyu mwanamke ningekuwa na uwezo wa kununua kisiwa mathalan kile cha mafia ningekinunua na kuwahamisha watu wote ili tuishi mimi na yeye tu.
Nimfanyie mambo gani ili anipende peke yangu nawengine awaone kama mnyama haramu aliyekatazwa katika vitabu vitakatifu
Nko salama hofu na mashaka kwako mpendwa. Waonaje hali?Mpendwa habari
Tunashukuru rehema zake na ukuu wake upo nasi mpaka tumeuona usiku tena mpendwa.Nko salama hofu na mashaka kwako mpendwa. Waonaje hali?
Jesus is my saviour and a friend