Kahama- shy
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,951
- 2,694
Huyu dada namkubali. Sana Najma Paul mwambieni jamani ucheshi wako lmimi ni shabiki wako, NAKUPENDA sana Mimi kijana wa hovyo sijui umeolewa Sina kitu Sina hela, Mimi ni kafwebe 😞
Yaoi TenaAna masifa huyo...
Atakupataje mkuu akitaka kukuona? Weka mawasilianoHuyu dada namkubali. Sana Najma Paul mwambieni jamani ucheshi wako lmimi ni shabiki wako, NAKUPENDA sana Mimi kijana wa hovyo sijui umeolewa Sina kitu Sina hela, Mimi ni kafwebe 😞
View attachment 3556142View attachment 3556143
Tafsiri "Urembo".Mimi natoa wapi urembo wote huo🙆🏽♀️
Yenye kuvutia..Tafsiri "Urembo".
Kama ni hivyo bhasi urembo unaegemea zaidi perception za mtu na siyo uhalisia.Yenye kuvutia..
Uko sahihiKama ni hivyo bhasi urembo unaegemea zaidi perception za mtu na siyo uhalisia.
So you're right.
Wewe si mrembo kuliko huyo kulingana na tafsiri yako ya urembo.
Yaoi Tena
HUYO KAOLEWA NA MJANJA WA BUKOBA!
TAFUTA MBURURA MWENZIO MUOWANE,ACHANA NA WAKE ZA WATU!
PENDEKEZO:
TAFUTA MBURURA LAKO MOJA TOKA TABORA,SINGIDA au MANYARA ULIFANYE ZAIDI YA NAJMA PAUL,Nadhani mbinu hii itakusaidia kujipatia pisi kali!