bbwaoy
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 466
- 468
Aiseee, Mungu niweke hai , natamani mke wangu wa ndoa aje kuwa mweusi. Sijawahi kuvutiwa kabisa na mwanamke mweupe kamwe. ..mpaka jamaa zangu waninishangaa, hawa black walinipa nini???
Hata nikiwa kwenye mikusanyiko ya watu huwa napenda sana kuwa close na black girls tu.
Hata nikiwa kwenye mikusanyiko ya watu huwa napenda sana kuwa close na black girls tu.