Nampenda sana mwanamke mwenye rangi nyeusi.

Nampenda sana mwanamke mwenye rangi nyeusi.

Chinekeeee kwahiyo tulio jichubua tuende wap?

Msitufanyie hivyo tafadhali
 
Mmeona weusi wamebaki wa sample ndio mmeanza kufungua thread za kutaka wanawake weusi!! Hebu msituyumbishe huko.
 
Mkuu mwanamke anayependeza ni yule aliye natural, kama ni mweupe awe wa asili na si wakujikoboa. lakini ukimkuta anayekubali weusi wake na ajapenyeza ayo machemical asee auishi hamu ya kumtazama. WAKOBOAJI TUPA KULE
 
Mwanamke awe na Tabia nzuri na mwenye hofu ya Mungu.... Huyo ndo chaguo sahihi la maisha.. colour means nothing.
Huwa nacheka sana nikiona comments za namna hii. Ziko so unrealistic, hizo sifa zinamsisimuaje MTU? Nawafahamu watu wengi tu waliowahi kushikia bango kauli kama hizi na baadae kuchepuka na hao ambao Kwa maoni yao ya mwanzoni hawakuwa na sifa.
MTU akuvutie na kukusisimua kwanza ndio sifa zingine zifuate.
 
Mmeona weusi wamebaki wa sample ndio mmeanza kufungua thread za kutaka wanawake weusi!! Hebu msituyumbishe huko.
Atoto, usiniambie na wewe umekunywa maji mengi kama Ray! Usihofu,wanaume wanatofautiana.
 
Atoto, usiniambie na wewe umekunywa maji mengi kama Ray! Usihofu,wanaume wanatofautiana.
Yaani maji yamenikolea namkaribia malkia, mara ghafla naona thread mbili mbili za kutaka weusi, nikaishia kutukana kimoyo moyo, ila wanaume mungu anawaona.
 
Angalizo huyu huyu anayesema anapenda block beauty akisha oa ikipita wiki utakuta yupo na michepuko mweupe kibao, ukishaoa leta Mrejesho na pia michepuko yako tuifahamu rangi zao, usije ukaanza kuona demu mweupe anapita kupendeza zake ukaanza kumkodolea mimacho badae unakuja humu kuomba ushaur kua nimeoa mke mweus sa iv cmtak nataka nioe mweupe
 
Dah vijana mnawachanganya wanawake jaman!

Walipoona mnapenda weupe wakakimbilia mkorogo, saivi mnataka weusi tena..!!!

Mkataka wembamba model, wakakimbilia kuwa wembamba tena wengi wao wakaishia kupata ulcers kwa kufanya diet..!

Halafu nyie juzi tena mmehamia mnataka Chura[emoji196]

Sasa wafanyaje????

Mlitaka nywele wakaleta mawigi [emoji1] tena hamtaki..!

Wahurumieni jamani dada zetu mnawatesa!
 
Watu tumenunua mikorogo hadi ya laki tumekuwa na rangi ya mtume halafu wanatuletea tena za kuleta[emoji17]
Waturudishie gharama zetu na rangi zetu, lasivyo waendelee tu kupenda rangi ya mtume maana hamna namna!
 
Mpaka uje kuoa sijui kama utakuta kuna wanawake weusi, siku hizi kila mmoja ni mthungu hadi nywelee
Mkuu usimkatishe tamaa, kuna wengine bado tupo tunathamini weusi wetu na hatuna mpango wa kujicarolight.
 
Back
Top Bottom