supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,970
Kama utampendea titi la kunyonya baada ya kukuzalia mtoto kunyonyesha titi litapoteza ubora wake. Je utaendelea kumpenda??Tupo wengi, alafu awe na titi la kunyonya sasa mpk raha!
Katika maisha kuna kuumwa, kuzaa na kunenepa, kupitia hali hizi umbo linapoteza muelekeo wake. Je utaendelea kumpenda?balaa sana... Awe na tako
Love the way she is tabia na moyoBlak,mikono minene kdogo,chura kmtindo..dah uwa nachanganykiwa
Kunenepa na kukonda kupo, kuridhika na maisha pia kupo