Hayo ndo matatizo ya kuolewa na wanaume mmekutana nao kwenye ma night club.
Hivi wewe ungeolewa na mwanaume ambaye hatoki msikitini yangekupata haya?
Mara ya pili tafuta mwanaume ambaye ana sali salaa Tano tena zila za Jamaa, sio anaye sali nyumbani mana hakuna salaa ya nyumbani kwa wanao sikia Adhani na hawaendi msikitini...Mungu tusamehe mana na mimi ni mmoja wao, nipo kwenye kundi hilo kuna wakati nasikia adhani siendi msikitini mara nyingi na sali tu nyumbani, naomba uniongeze niwe sitoki msikitini semeni ameen.
Kuna kipofu alienda kwa Prophet Muhammad kuomba asamehewe asiende msikitini sababu haoni, Prophet Muhammad akasema kama unasikia Adhani ni lazima uwende tu, ukasali salaat al jamaa huna ujanja hapo...Kiziwi tu ndo hawezi kwenda msikitini sababu hasikii adhani.
Kuna kisa kiliwahi kutokea zamani Jamaa mmoja, alikuwa anamtongoza mke wa Jamaa, na yule mwanamke alikuwa kafata dini sana.
Mwanamke yule alipo ona kero kila siku anatongozwa tena na mwanaume jirani yao, akaona njia nzuri ya kumtoa yule mwanaume bila ugovi ni kumueleza hivi.
Kama unanipenda na unataka kweli kusex na mimi kwanza fanya haya....Kila siku nataka uende Msikitini kusali salaa zote za Jamaa usikose hata moja kwa mda wa mwezi mmoja ukisha fanya hivyo njoo takupa good sex wala usijali.
Yule mwanaume akasema sawa nitafanya hayo unayo yataka, huwezi kuamini bada ya week mbili yule mwanamke akamuita vipi hutaki kufanya sex, yule mwanaume akasema Astghfoor lillah nimesamehe.
Kama mme wako ni Mu islam we mkazanie aende kusali Salaa za Jamaa, afu uje unieleze bada ya mda kama atasogelea malaya.
Najua ndugu zangu wakristo mtachukia hapa :biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Nina siku nyingi sana usingizi kwangu shida, hamu yakula sina,hata utendaji wangu wa kazi unapungua sana, sababu kubwa ndoa yangu jamani,nalazimika kutengana na mume wangu hali bado nampenda. mume wangu kawekeza katika ngono sijui tatizo nini,muda mfupi wa ndoa yetu na watoto wetu 2 bado wadogo kazaa nje ya ndoa zaidi ya mtoto mmoja, anatembea mpaka na majirani zetu tena wale wenye story mbaya wanasemekana wanajiuza. nimejaribu kujishushaa, kumuomba turekebishe kama kuna matatizo lakini mwenzangu kila kukicha anaongeza speed ya wanawake.
Yamenishinda , imenibidi nitengane nae, nina siku 3 sasa nipo nyumbani kwa wazazi wangu najipanga nianze maisha mapya ya bila mume na watoto bila baba yao. naumia sana sababu sikuwahi fikiria kutengana na mume wangu na katika familia yangu yenye watoto 5 waliolewa na 2 waliooa mimi ndo wa kwanza kuleta shida zangu nyumbani. najisikia vibaya sana lakini sina namna nyingine naogopa kufa kwa ukimwi na stress za hawara za mume wangu. Nimaamuzi magumu sana kwangu yananifanya nilie na kukosa amani sijui lini nitarudi katika hali yangu ya kawaida. Mume mpaka naondoka namuona hajali wala kuumia familia kuvunjika. Nampenda sana na siku zote nitamuomba Mungu amuepushe na magonjwa na amjalie kutulia ili hata kama ataanzisha familia nyingine asiiumize kama alivyoniumiza mimi na watoto wetu.Mungu amjalie afya njema na baraka ili kama ataweza awatunze na watoto pia kama alivyokuwa anawatunza.
sijui maisha bila baba yanakuwaje na maisha nje ya ndoa yatakuwaje sijui hata nianzie wapi. Mume wangu ungejua nia ya moyo wangu kwako usingenifikisha hapa ungenipenda na kuniheshimu usingeniumiza kwa ajili ya wanawake wengine na majibu mabaya kwangu.
Mkirua
mara zote huwa nasema mama unalala nn saaa 8 usiku?? mama mwenye mume na watoto saa 8 umelala?? umesahau kwamba wewe ni jeshi?? na sifa ya jeshi ni kuwa tayari muda wote?? tena unakuwa na mazoezi makali?? yaani huwaga wamama wa WAWATA parokian kwetu wanakomaga. usiku saa 8 naanza kuwaamsha haya jeshi la Yesu amkeni tupashe kwaajili ya kujiweka sawa. hapo lazima tufunguke maombi ya saa moja kisha ndo wenye kwenda job wanaanza kujiandaa. siku hiz parokian kwetu uspime kila mama ndoa yake inaelea kwenda mbinguni, watoto tunawafunika adui asiwaone na kwakuwa tumetangaza vita basi hatutakiwi kuchoka manake nae ibilisi anatafuta tumechoka wapi ili atuangushe.
nawausia hata wale walioko kwenye ndoa zao jamani jitahidin sana kusali sali pasi kuchoka ombea ata mwili wa mumeo utaona wema wa mungu. yani mm ukinkuta namwombea hubby unaweza kusema Mungu hayuko hivyo lkn ndo ananisikia na kutenda. mm kumwambia mungu naombea uume wa mume wangu usiingie kwa mwanamke mwingine ila mm na wala chupi yake asitamni kuivua kwa mwanamke nisiye kuwa mm sioni aibu kiukweli.
POLE SANA. Yani situation yako ni kama yangu kwa kiasi kikubwa. tofauti ni kwamba mumeo anatembea na makahaba. wangu sijui ndo karogwa na hawara tena mke wa mtu, wacha nimtaje tu anaitwa rehema mfugale yupo peackok hotel. yani huyu dada sijui ni pepo ama vipi maana imefikia hatua ya kunipigia cmu wakiwa gesti eti nisiwasumbue na mume wangu siri zote za ndani hupeleka huko. Yan nikimjua mumewe nitamwambia ndo then nitawaacha waendelee kuzinzika, mpaka wachoke. lo wanawake sijui tukoje na vijana wanakimbilia kuoa ili wajipe status kumbe bado watoto lo. ila just give yourself time, i will do that later when am done with tis stupid lady
uwiiiiiiiiii mmeo kaangukia kwenye penzi la rehema mfugaleee??POLE SANA. Yani situation yako ni kama yangu kwa kiasi kikubwa. tofauti ni kwamba mumeo anatembea na makahaba. wangu sijui ndo karogwa na hawara tena mke wa mtu, wacha nimtaje tu anaitwa rehema mfugale yupo peackok hotel. yani huyu dada sijui ni pepo ama vipi maana imefikia hatua ya kunipigia cmu wakiwa gesti eti nisiwasumbue na mume wangu siri zote za ndani hupeleka huko. Yan nikimjua mumewe nitamwambia ndo then nitawaacha waendelee kuzinzika, mpaka wachoke. lo wanawake sijui tukoje na vijana wanakimbilia kuoa ili wajipe status kumbe bado watoto lo. ila just give yourself time, i will do that later when am done with tis stupid lady
Mkirua
mara zote huwa nasema mama unalala nn saaa 8 usiku?? mama mwenye mume na watoto saa 8 umelala?? umesahau kwamba wewe ni jeshi?? na sifa ya jeshi ni kuwa tayari muda wote?? tena unakuwa na mazoezi makali?? yaani huwaga wamama wa WAWATA parokian kwetu wanakomaga. usiku saa 8 naanza kuwaamsha haya jeshi la Yesu amkeni tupashe kwaajili ya kujiweka sawa. hapo lazima tufunguke maombi ya saa moja kisha ndo wenye kwenda job wanaanza kujiandaa. siku hiz parokian kwetu uspime kila mama ndoa yake inaelea kwenda mbinguni, watoto tunawafunika adui asiwaone na kwakuwa tumetangaza vita basi hatutakiwi kuchoka manake nae ibilisi anatafuta tumechoka wapi ili atuangushe.
nawausia hata wale walioko kwenye ndoa zao jamani jitahidin sana kusali sali pasi kuchoka ombea ata mwili wa mumeo utaona wema wa mungu. yani mm ukinkuta namwombea hubby unaweza kusema Mungu hayuko hivyo lkn ndo ananisikia na kutenda. mm kumwambia mungu naombea uume wa mume wangu usiingie kwa mwanamke mwingine ila mm na wala chupi yake asitamni kuivua kwa mwanamke nisiye kuwa mm sioni aibu kiukweli.
POLE SANA. Yani situation yako ni kama yangu kwa kiasi kikubwa. tofauti ni kwamba mumeo anatembea na makahaba. wangu sijui ndo karogwa na hawara tena mke wa mtu, wacha nimtaje tu anaitwa rehema mfugale yupo peackok hotel. yani huyu dada sijui ni pepo ama vipi maana imefikia hatua ya kunipigia cmu wakiwa gesti eti nisiwasumbue na mume wangu siri zote za ndani hupeleka huko. Yan nikimjua mumewe nitamwambia ndo then nitawaacha waendelee kuzinzika, mpaka wachoke. lo wanawake sijui tukoje na vijana wanakimbilia kuoa ili wajipe status kumbe bado watoto lo. ila just give yourself time, i will do that later when am done with tis stupid lady
Nimekaa nae sana,mpaka wazazi wake wamekaa nae na kuuliza tatizo ni nini hasemi tatizo,nimemuomba anisamehe kama mimi ndo tatizo anambie nijirekebishe wapi anatulia siku mbili ananimbembeleza asubuhi jioni tukio lingine kubwa zaidi linatokea. nakumbuka kuna siku mpaka mamake kalia mbele yangu akimsihi mwanae abadilike.Duh,sorry sister,najua jinsi uumiavyo ulipokuwa unapost hii kitu tena usiku wa manane kabisa,mungu akujalie akupe nguvu na shwetani aliyemuingia mmeo amtoke ajirudi aijenge familia yake na amuepushe na magonjwa,inasikisha sana,umewahi kukaa nae na kumuuliza tatizo ni nn lakini hadi amekuwa hvyo?
Sikujua kuwa mkatoliki.
hahahahah! thats so sweet for her jaman!................. Klein and others are doing good.
yaani hilo ndo uliloona lol! mie nilikuwa mlutheri ila nikaolewa na mu-rc so nikaona nalazimika kusali pamoja na baba na watoto. na namshukuru Mungu sijaona tofauti kiviiile.
Hayatuhusu.Nina siku nyingi sana usingizi kwangu shida, hamu yakula sina,hata utendaji wangu wa kazi unapungua sana, sababu kubwa ndoa yangu jamani,nalazimika kutengana na mume wangu hali bado nampenda. mume wangu kawekeza katika ngono sijui tatizo nini,muda mfupi wa ndoa yetu na watoto wetu 2 bado wadogo kazaa nje ya ndoa zaidi ya mtoto mmoja, anatembea mpaka na majirani zetu tena wale wenye story mbaya wanasemekana wanajiuza. nimejaribu kujishushaa, kumuomba turekebishe kama kuna matatizo lakini mwenzangu kila kukicha anaongeza speed ya wanawake.