Nampenda sana mpenzi wangu

Mimi nakushauri usome haya


She might be new,
and her hair just might
be dyed blue.

Or she could be old,
and always dress in gold.

She could have many friends,
and follow all the latest trends.

Or she could be that friendless girl,
whose oufits always make you want to hurl.

It doesn't matter where she's from,
who's her father or who's her mum,
what really matters is how you act,
so from this day on, please make a pact,
to never be rude or unkind,
for even though she may
act like she doesn't mind,
deep down, she does.

People can't be judged by their hair,
what they listen to or what they wear,
so please, just be kind

thanx for the advice
To be frank its realy nice
Now i know exactly wat to do
And this is all because of u
i love this person so much
That another,i wont dare to search
I just wanna be happy
No more i wana act like a puppy
Let me say thanx once again
U have helped to take away my pain.
 
Umekutana naye lini?
Mna muda gani katika uhusiano?
Matarajio yenu je? Anajua unachomwazia?
 
Umekutana naye lini?
Mna muda gani katika uhusiano?
Matarajio yenu je? Anajua unachomwazia?

na miezi nae michache tu,na tuna mpango wa kufunga ndoa tukishakamilisha mambo flani
 
thanx for the advice
To be frank its realy nice
Now i know exactly wat to do
And this is all because of u
i love this person so much
That another,i wont dare to search
I just wanna be happy
No more i wana act like a puppy
Let me say thanx once again
U have helped to take away my pain.

Kumbe nawe umo kwenye haya mambo?
 
kwa haraka haraka mimi naona hivi...

kwamba pengine hajawahi kuwa na kitu kama wewe like huko nyuma katika pita pita za kukuwa na sasa hajiamini kama ana umwezo wa kumili kitu cha level hiyo na ndo hapo panapo kuja wasiwasi pia unatakiwa kumsaidia ili aweze kujiamini kuhusiana na hili.. this is psycological problem a shrink would do better... lolz
 
kwa haraka haraka mimi naona hivi...

kwamba pengine hajawahi kuwa na kitu kama wewe like huko nyuma katika pita pita za kukuwa na sasa hajiamini kama ana umwezo wa kumili kitu cha level hiyo na ndo hapo panapo kuja wasiwasi pia unatakiwa kumsaidia ili aweze kujiamini kuhusiana na hili.. this is psycological problem a shrink would do better... lolz

thanx mkuu,
 
Habari zenu wote.Nimewamiss kweli,ila nilikuwa busy na shughuli za kitaifa! Nimepata mpenzi,ni kila kitu kwangu,nampenda kuliko chochote maishani mwangu,tatizo moja tu ana wivu sana na anakosa uaminifu kwangu wakati mimi nimezama kwake hoi bin taabani kama mtoto mchanga na ziwa la mama,hata pembeni siangalii.Nifanyeje ili aniamini na apunguze wasiwasi kwangu?
Jaribu kujitegemea! Mbwa ww
 
Back
Top Bottom