Nampenda sana lakini yeye ananipenda kidogo mno

Wanawake wanatabia ya kudefence when it comes to love na sitaki nataka ..komaaa nae mkuu..kipimo pekee cha kujua mwanamke akutaki ni kukufanya danga.
 
Yan mm nafurahi sana demu akinikubalia mwenyewe tuwe friends with benefit kuliko wapenzi. Hii kitu ni tam sana isikieni tu ila kuwa wapenzi ni kuchoreshana tu
 
Yan mm nafurahi sana demu akinikubalia mwenyewe tuwe friends with benefit kuliko wapenzi. Hii kitu ni tam sana isikieni tu ila kuwa wapenzi ni kuchoreshana tu

ni tamu until you catch feelings hapo sasa
 
Kijana, tambua kuwa kuna uwezekano mkubwa haupo peke yako...

Ukishaiset akili ya mwanamke kuwa una urafiki naye wa faida, ujue katika hesabu zake atakuondoa na ataendelea kumsaka mtu wa ndoto zake...

Hivyo kuna uwezekano:
1. Kapata mtu mwingine na ameshaamua kuwekeza huko, hivyo anakupoteza taratibu ili asikuumize.

2. Kapata mtu mwingine lakini bado yupo njia panda.

3. Yupo single isipokuwa hajaamini kama kweli wampenda au wataka endelea kumchezea

Kama ulimwambia wampenda na akakueleza atakujibu, possibility ni hiyo namba 1.

Kama ulimwambia wampenda na akawa kimya tu, possibility ni hiyo namba 2.

Kama situation ni namba 3, fanya kumueleza kwa utaratibu kuwa umeamua kuachana naye kwa sababu wewe wampenda lakini huoni kama moyo wake upo kwako tena. Hapa ndipo itatimia ile falsafa ya The art of love and being loved, "Kama unampenda mtu basi muache aende zake, kama alikuwa wa kwako atakurudia, na kama hakuwa wa kwako atenda zake"

Watu8 a.k.a Dr Love (leo nimekuwa kwenye mood ya kushusha hizi nyanga)
I appreciate the comment,, je Kama harudishi upendo, vipi ukiamua kukata mawasiliano tu ghafla in a peaceful way bila kumtaarifu chochote?
 
Umepata bahati ya kua na mtu unaemchakata bila gharama, na ruhusa ya kua na wengine unayo na yeye anayo coz sio wapenzi.

Hiyo hutaki we unataka ujicommit kwake uwe wake tuu, upewe papuchi kwa mahesabu, unaanza kuwaza mamb ya ndoa na kupendana we jamaa umefeli sana aisee
 
Wana JF naomba ushauri au msaada

Kuna msichana nmekuwa na hangout nae kwa mdaa sasa,we have made love tulikuwa kama friends with benefits kwa mdaa sasa ivi punde nika decide kumu approach kumwambia the way i feel kwamba nampenda na kweli i do love her.

things have changed hani treat kama zamanii najitahid sana kumuonyesha nampenda kwa njiaa nyngn but naona yeye hana interest na mm kabisa imefika point sjui nifanye nn natamani nimuache lakin nashindwa nampendaa sana am always thinking about her
Iv watu kama nyie bado mpo duuuh. ACHA UTOTO NDUGU FUTA KILA KITU MPOTEZEE MAZIMA 🧠👨‍💻
 
Jorge WIP leta mrejesho....

Uliambulia chochote kwa huyo mrembo.!??

aah, mrejesho ni kwamba tuli move on yupo an date na jamaa flan ambae kama ten years older than me and her, yuko mkoani ila ana tabia ya kunitafuta akija town, nikiwa available huwa tuna hangout. Mwanzo nlimchukia lakin siku hizi I don’t

aliniambia kwanini hakuweza kuwa na mimi sababu ambazo sija zielewa!

1. alikuwa anataka mtu ambae anaempenda(mpenzi wake) awe obsessed na yeye sio kumchukulia kawaida. Kifupi ilitakiwa niwe “obsessed” whatever that means

2. alikuwa anataka mtu ambae sio rahisi kuzoeleka, hasa hasa na rafiki zake & watu wengine(nlifikiri she’s selfish flan)...kasoro ikaja sasa mm nlkuwa naelewana na watu weng. She’s toxic nkagundua, basi nkamkataa though kwahiyo was way better kwa ile FWB

Kifupi I wasn’t the perfect candidate
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom