Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

Hahahahaaaaa
Hivi unaujua ule wimbo wa Zunguka Zunguka Zunguka....hahahaaa tena ukiwa umejidunga ndovu inanogaga aiseee lol
Yan unazunguka huku unapata upako FP ila ukinogewa kuzunguka kifuatacho ni kumwangukia wa pembeni yako!
Heheheheeee
he he heeee, Zunguka zunguka.......eeeeehhhh!
mimi sijawahi ucheza na ndovu kichwani ila hata na fanta unapanda saaanaa tu..... yaani ndo my favourite. yaani niende kwa harusi wasiupige huo naona kama sijaenda vile.......
 
Last edited by a moderator:
he he heeee, Zunguka zunguka.......eeeeehhhh!
mimi sijawahi ucheza na ndovu kichwani ila hata na fanta unapanda saaanaa tu..... yaani ndo my favourite. yaani niende kwa harusi wasiupige huo naona kama sijaenda vile.......

Hahahahaaa nawewe kwa kuniiga lol ndo mapenzi yako kwangu yaliko eeeeh
Haya love you too swthrt wangu wa zamani!
Copy Kwa TANMO
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa nawewe kwa kuniiga lol ndo mapenzi yako kwangu yaliko eeeeh
Haya love you too swthrt wangu wa zamani!
Copy Kwa TANMO
ha ha haaaa, hivi TANMO yupo jamani?
ukinionea huko naomba umsalimu sana
 
Last edited by a moderator:
kumpa password ya FB and other chart si suruhisho cha msingi ni kumweleza kama haelewi mpige chini kwani wivu ukizidi itakuja kukucost mbeleni. maana mapenzi hayatabiliki.
 
kuna msamiati unaosema kipenda roho hula nyama mbichi lakini pia kuna usemi unaosema penye nia hapakosi njia hivyo kwa kuwa unampenda kwa dhati tafuta njia yeyote umridhishe kwa kuwa nae anakufuatilia kwa mapenzi ya dhati aliyonayo kwako.
 
kwan we alikupta fb au whatsap? kama ndivyo basi wasi wasi lazima awenao.
 
There are 2 things involved, love & obsession
if its luv then u r safe,if its obsession there r 2 things involved either u wil b cared a lot or u wil b watched every step!

the guy is obsessed with u!!
 
Hahahahhahahaa ilinitokea hii kumbe alikuwa anafanya yake chini ya kapeti kuwa makini ww
 
Ila hata mie ukiwa mtu wa 'online too much' mmmh naboreka.....utakuta mtu unatoka nae labda dinner,kazi yake ni kuchat tuu,anatoka Fb,anaenda BBM,mara WhassApp...jaman...awe na muda na hizo mambo zake....Hizi mitandao zimesababisha mahusiano mengi kuvunjika.Ushauri wangu,hebu jaribu kuacha chatting for a while uone kama bado hatabadili mtazamo ...
 
Niko kwenye wakati mgumu sana ninaempenda aniamini hata kdg akiona niko online iwe fb, whats app na mitandao mengine anachanganyikiwa kabisa kwamba nachat nawanaume nishamwelewesha lakini wapi ata akinipigia cm bahati mbaya nisipopokea nikimwelewesha aniamini anahisi vibaya muda wote nifanyeje? mbona mm simfatilii kiasi hicho na namwamini hata nimwone online simwazii baya llte y me? nisaidieni wadau maana nahisi kumpoteza kwani ananifanya sina amani kila wakati ananilalamikia tu na wakati sina mahusiano yyte mengine zaidi yake.
SIS DREAD achana naye kama hamuaminiani.....labda hapendi hizo dread zako? Upendo bila imani ni sawa na kazi bure.
 
Last edited by a moderator:
Wengi wa members wanasikia upande mmoja na kujipatia mamlaka ya upilato. Kwa nini mwanaume asikuamini wakati alikutokea akijua wewe ni mwema? Inatokea msichana anabadilika, yawezekana mwanzo ulikuwa unapokea simu yake kwa uharaka zaidi kuliko sasa. Yawezekana ulikuwa unamtafuta kabla hajakutafuta. Yawezekana umajitia kuwa bize sana kuliko ilivyokuwa zamani na humuelezi huu ubize unatoka wapi. Mabadiliko yoyote ya namna hiyo humjengea mawazo mwanaume na kuaanza kujiuliza kwa nini?

Wanaume hutofautiana:
Wapo wakimya sana, wanakuwa wanaugulia moyoni na kufanya uchunguzi ambapo maamzi yao huwa ni sunami hata kuuwa kabisa.
Wanaume wale wapayukaji, wenyewe wanahitaji ujirekebishe ili yaishe na hawa huambatana na hasira na maneno mengi.

Ushauri: Kama kweli unampenda kama ulivyosema, msikilize anacholalamikia. Jitahidi kumuaminisha ili akuamini. Kumbuka mapenzi yanauwa, usifikiri anang'unika yanaisha kama maneno wengi hufika hatua ya kuua. Tafakari, chukua hatua.
 
I would wish to tell make him trust u
Just saying is not enough.your actions
Nd words should mean he is only one.
Vinginevyo mtagombana sana tu
 
Back
Top Bottom