Inadepend na yeye mwenyewe je anajua suala zima la lishe bora? Kama anajua hata ukimuoa akazaa wtt watano anauwezo wa kubaki na umbo lake kama kawaida ubaya ni pale kama atakuwa anahusudu msosi na hafanyi mazoezi
Color i mean mke anazd kimaumbile kuwa mkubwa{anakua kwa kasi
Bila shaka mtakuwa mnalinganaUna miaka mingapi ?
kama hakuna tatizo jingine katika uhusiano wenu haina shida, umri ni no tu.
endeleeni kumtegemea mungu tu awafikishe pale mnapotamani kufika.