HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,448
- 6,211
Huyo wa kushoto!Which one? Ila wote ni warembo. Hongera!
Kushoto kwenye picha or as i'm looking at the picture?Huyo wa kushoto!
ni warembo au wazuri?Which one? Ila wote ni warembo. Hongera!
Warembo. Uzuri au ubaya mpaka umfahamu mtu. Wazo langu lakini.ni warembo au wazuri?
au wana sifa zote mbili?
maana kiswahili bwana mara nyingine unaweza ukawa unataka kumaanisha hivi nikaelewa vile,hebu jaribu kuliweka sawa ili twende sambamba...
waoo,mrembo ni mtu aliyejitia urembo/aliyejipamba....uzuri ni ule wa asili ambao mtu amezaliwa nao na ukamvutia mtu akimtazama hata kama hajajipodoa,so mtu anaweza akawa mzuri na akaongeza vipodozi na jina linabadirika anakuwa mrembo,na kuna yule hajipodoi ila ni mzuri anabakia kuwa mzuri,ingawa hakuna binadamu mbaya wote tu wazuri ila uzuri ndio unatofautiana huwa haiwezekani wote wafanane,nahisi nimejitahidi kuliweka sawa..Warembo. Uzuri au ubaya mpaka umfahamu mtu. Wazo langu lakini.
Wazo lako. Naliheshimu.waoo,mrembo ni mtu aliyejitia urembo/aliyejipamba....uzuri ni ule wa asili ambao mtu amezaliwa nao na ukamvutia mtu akimtazama hata kama hajajipodoa,so mtu anaweza akawa mzuri na akaongeza vipodozi na jina linabadirika anakuwa mrembo,na kuna yule hajipodoi ila ni mzuri anabakia kuwa mzuri,ingawa hakuna binadamu mbaya wote tu wazuri ila uzuri ndio unatofautiana huwa haiwezekani wote wafanane,nahisi nimejitahidi kuliweka sawa..
Anampenda mwanaeWhich one? Ila wote ni warembo. Hongera!
Asante. She is adorable.Anampenda mwanae
ooooh yesAsante. She is adorable.