Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,971
- 26,952
Hapo ni kunyamaza hakuna namnaNafanyeje sasa na akati bikra sijapewa mimi..!!??
Hapo ni kunyamaza hakuna namnaNafanyeje sasa na akati bikra sijapewa mimi..!!??
🤣😂🤣🤣🤣🤣🤣mjukuu wa Hitler
Acha kumpoteza mwenzio bc muelekeze tu vzr mapenzi ya humu hayana tofauti na kulogin na kulog out😂😂😂humu hutakiwi kuwa na mpenz cute....utaumia kilasiku
Mkuu Carrasco na DeepPond unawasahau, ila ni wabobezi kwenye hiyo sekta 😅😅😅Bwanaee uzi umejieleza wazi kuwa huyo jamaa ana mishangazi na hapo kwenye mishangazi hauna mpinzani 🤣🤣🤣
Ww ni Mzee wa behind the scene sana, ila hii sekta ni yako 😅😅Mi sampuli zangu dogo dogo![]()
Dah mwanangu unanipa msala wako, aina noma 😅😅😅Ha ha ha......Uzi ulikuhusu kbs huu![]()
Nipo mkuuWee jamaa nikisoma comment zako nawaza jins ulivo km nakuona vile
Tatizo kura imekudondokea wewe 😀😀Mkuu Carrasco na DeepPond unawasahau, ila ni wabobezi kwenye hiyo sekta 😅😅😅
Ndio mkuu ndio Siraha yangu pendwa boss
Ha ha ha....huwa unanifurahisha Sana mkuu, big upNipo mkuu

Asante sana mkuu, nipo japo kwa sasa nachungulia chungulia kidogo,Ha ha ha....huwa unanifurahisha Sana mkuu, big up![]()
Lakini nimeona kama kakutaja hivi unataka kusema kakuchanganya wewe na Carrasco?🤭🤣Demu wa Carrasco huyo. Mm sihusiki 😅😅
Jiangalie wewe jimbo la mjeremani hilo 😅
Sasa mm sio mjerumani. Mm ni mbantu pyua 😅Jiangalie wewe jimbo la mjeremani hilo 😅
Eh aiseeMkuu Carrasco na DeepPond unawasahau, ila ni wabobezi kwenye hiyo sekta 😅😅😅