Mkuu inaonekana unasumbuliwa na pepo la ngono. Kama ukishindwa kufunga ndoa na Msaada; Ninataka kufunga ndoa lakini mpenzi wangu ni dini tofauti na yangu je,ulikosa mtu ambaye ni wa dini yako na yupo single. Acha single mothers waongezeke kumbe hujitakia wenyewe.jamani wadau nimetokea kumpenda mume wa mtu sana sasa sijui nifanyaje na yeye pia ananipenda sana na anasema atanioa je nikubali au niolewe tuu na mtu mwingine.
niposerious
Msaada; Ninataka kufunga ndoa lakini mpenzi wangu ni dini tofauti na yanguMwongo huyu,kuna uzi alitoa aliandika ana miaka 25,je miaka inaenda mbele au inarudi nyuma?
kumbe majibu unayo mama, hawez kukupenda wewe zaidi ya mke wake anakudanganya huyo? alafu uke wenza lazima ujipange sio kukurupuka,ningejisikia vibaya sana
Msaada; Ninataka kufunga ndoa lakini mpenzi wangu ni dini tofauti na yangumiaka 24
wanaume wapo wengi sanaa, awe mvumilivu, uke wenza sio dili kaka atajutaaaaaaaaasasa cheupe,
atampata wapi wakati wanaume sisi tuko wachache kuliko nyie?
hebu fikiria kati ya watu 10, sita ni wanawake, wanne ni ke!
hao wanawake wawili watajizalizalisha jamani?
hapana mkuu sina elements za umalaya ninajiheshimu sana ningekua malaya nisingekuja hapa kuomba ushauri......wa dini yangu ambae yupo single sijapataMkuu inaonekana unasumbuliwa na pepo la ngono. Kama ukishindwa kufunga ndoa na Msaada; Ninataka kufunga ndoa lakini mpenzi wangu ni dini tofauti na yangu je,ulikosa mtu ambaye ni wa dini yako na yupo single. Acha single mothers waongezeke kumbe hujitakia wenyewe.
Ivi mkuu una element za umalaya?
wanaume wapo wengi sanaa, awe mvumilivu, uke wenza sio dili kaka atajutaaaaaaaaa
mwaka huu Nov ndo 25 kamili mkuu
njoo tu pm,najaribu kuku pm inakataa....naomba tuongee pm please
Mkuu kama huna element za umalaya kwanini unaparamia Mme wa mtu?hapana mkuu sina elements za umalaya ninajiheshimu sana ningekua malaya nisingekuja hapa kuomba ushauri......wa dini yangu ambae yupo single sijapata
ni kuzini pia kugongwa na single ni kuzini pia kote ni kuzini tuuu...mimi sina shida na mali mkuu kwetu tuna mali nyingi tuu naangalia upendo na ndo maana naomba ushauriMkuu kama huna element za umalaya kwanini unaparamia Mme wa mtu?
Unajua wamechumaje Mali zao na wewe unadandia juu juu? Ivi kugongwa na Mme wa mtu siyo kuzini kweli huko au macho yako?
Thread ya kuomba ushauri kwasababu ya dini tofauti ulisema una 25yrs, kwenye thread hii unadai una 24yrs..amazing!!!mkuu compact huyu mpenzi wangu tunashindwana kwa sababu ya dini ndugu zangu hawataki kunifanyia sendoff sasa anataka nikaishi nae kama mume na mke ndipo tufunge ndoa baadae jambo ambalo mimi silitaki pia amekua mtu wa kunilaani sana kua amenisubir muda mrefu na ikumbukwe mimi Nina 24 years kipindi ananisubir nilikua mdogo sana sasa yeye ananiachia laana kila siku
Kwa hiyo mkuu upendo umeupata kwa Mme wa mtu?ni kuzini pia kugongwa na single ni kuzini pia kote ni kuzini tuuu...mimi sina shida na mali mkuu kwetu tuna mali nyingi tuu naangalia upendo na ndo maana naomba ushauri
kwa kipindi hiki cha simanzi na stress naona ananifariji mkuuKwa hiyo mkuu upendo umeupata kwa Mme wa mtu?
Wanawake wakwale mtuachie waume zetu, mume anauma Ooh ntatoa mtu Busha la kike
Wanawake wakwale mtuachie waume zetu, mume anauma Ooh ntatoa mtu Busha la kike
pole mkuuWanawake wakwale mtuachie waume zetu, mume anauma Ooh ntatoa mtu Busha la kike
Pole haisaidii watafute waume zaopole mkuu
Mkuu hauzini kweli kufanya hivo?kwa kipindi hiki cha simanzi na stress naona ananifariji mkuu