Nampenda msoma taarifa ya habari wa T.B.C.

lup

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
2,514
2,736
Jamani yule Dada mnene aliyesoma taarifa ya habari ya saa mbili usiku tarehe 8.07.16. Huwa nampenda sana kiukweli,sijui ameolewa au....ila ukweli nampenda sana na nikipata bahati ya kuonana naye uso kwa uso nitamwambia nampenda.kama atapata ujumbe Hui pls an P.M.
 
Usife Moyo Bhana ... Ila kama Hao Huwa hata Wale Maboss Wanawatafuta Kwahiyo Kama Ni Mzuri Na Ww Ni Kabwela Huna Helaa Jipange Mana Anaonekana Kwenye Kioo
 
  • Thanks
Reactions: lup
Jamani yule Dada mnene aliyesoma taarifa ya habari ya saa mbili usiku tarehe 8.07.16. Huwa nampenda sana kiukweli,sijui ameolewa au....ila ukweli nampenda sana na nikipata bahati ya kuonana naye uso kwa uso nitamwambia nampenda.kama atapata ujumbe Hui pls an P.M.
Tafuta hela wewee,uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti...
 
Najuwa ila
Usife Moyo Bhana ... Ila kama Hao Huwa hata Wale Maboss Wanawatafuta Kwahiyo Kama Ni Mzuri Na Ww Ni Kabwela Huna Helaa Jipange Mana Anaonekana Kwenye Ki
Mi nimetoavta moyoni tu...hay nayajuwa
 
Kwani
Vijana wa siku hizi kwa kujilipua hamjambo...yaani unaona picha tu ushaanza kutoa mahari...sishangai kuona ndoa nyingi zikivunjika kwa sababu ya mwendo kasi wa vijana wa leo..
Nimekosa nini kutoa ya moyoni...
 
Jamani yule Dada mnene aliyesoma taarifa ya habari ya saa mbili usiku tarehe 8.07.16. Huwa nampenda sana kiukweli,sijui ameolewa au....ila ukweli nampenda sana na nikipata bahati ya kuonana naye uso kwa uso nitamwambia nampenda.kama atapata ujumbe Hui pls an P.M.

Azam wamezima channel zote kama hujalipia, wamebakisha TBC tu, na hayo ndio madhara yake, badili ya kuangalia taarifa ya habari, unaangalia mambo mengine tofauti, na kuonyeshe unataka kulelewa unatuma salamu humu!! Kazi ipo. Kwa hiyo kama yupo aku PM au sio?
 
Back
Top Bottom