Nampenda msoma taarifa ya habari wa T.B.C.

Nampenda msoma taarifa ya habari wa T.B.C.

Mie namzimia Jackline Silemu wa ITV,natamani nionane nae nimchane ukweli
 
  • Thanks
Reactions: lup
Aa
Ni bora kama hamuwajui Watu muwe tu mnanyamaza vinginevyo mtatufanya tujue kuwa kwenu hamna Tv wala King'amuzi. TBC1 hawana Mtu aitwae Neema Mhando badala yake wana Mtu aitwae Rahel Mhando. Kiherehere kitawaponzeni!
Ni jambo jema kwa watanzania kupendana, umefanya jambo jema kumpenda mtanzania mwenzio

Asante kumbe ninatimiza haki ya msingi ya kikatiba...
 
Hata akiwa na watoto kumi atapendwa tu kwa sababu anaonekana kwenye kideo
Na ajuwe wengi wanampenda ila mimi ndio nimejitokeza...
 
Kumbe tuko wengi kaka....ni bora kusema kwani ststus haiwezi kuzuia kufikishiwa ujumbe...
Dah yani ni noma mzee, nikimuona tu mdomo unawasha kinoma..Natamani niingie kwenye tv aisee! Jana kwenye kipima joto nimemuangalia weee ila ipo siku tu tutakutana naimanii
 
  • Thanks
Reactions: lup
Wale wanaoangalia hilo channel watuwekee picha basi ili tusaminishe, asije kuwa anaongelewa yule alokuwaga anatangaza michezo zamani
 
  • Thanks
Reactions: lup
Kuweka picha ya MTU anaweza shtaki
 
dah....hajani PM.
 
Emotion turning back on itself, and not leading on to thought or action, is the element of madness.
 
Back
Top Bottom