Nampenda msoma taarifa ya habari wa T.B.C.

Nampenda msoma taarifa ya habari wa T.B.C.

Kwani hakuna MTU wake wa karibu anifikishie ujumbe...kwani zamani hata njiwa ilitumwa kupeleka salamu.nami pia ndio njia niliyotumia, au kuonyesha hisia zangu vibaya???
 
Bangi mnaisingizia...Mimi ninaakili zangu timamu ila ndio hisia zangu
Cha msng fuatilia kwnz upate mawasliano yake maana wanasema kupenda kunagundshwa japo n kaz sana kutokana na status alyonayo
 
  • Thanks
Reactions: lup
Poa...
Cha msng fuatilia kwnz upate mawasliano yake maana wanasema kupenda kunagundshwa japo n kaz sana kutokana na status alyonayo
Poa kaka,ninaanza huo mchakato
 
Bangi mbichi ni hatari kwa afya yako.
Zamani zilikuwa zinajiotea zenyewe,siku hizi zinapaliliwa madawa ya kuua wadudu zinamwagiwa na mambolea zinawekwa,ndio chanzo.
 
  • Thanks
Reactions: lup
Sijui unamuongelea Neema Mhando au yupi? Kama kweli unampenda fuatilia ujue jina lake, hio ndio hatua ya awali ukimpenda "mtu"

Ni bora kama hamuwajui Watu muwe tu mnanyamaza vinginevyo mtatufanya tujue kuwa kwenu hamna Tv wala King'amuzi. TBC1 hawana Mtu aitwae Neema Mhando badala yake wana Mtu aitwae Rahel Mhando. Kiherehere kitawaponzeni!
 
  • Thanks
Reactions: lup
Ni jambo jema kwa watanzania kupendana, umefanya jambo jema kumpenda mtanzania mwenzio
 
  • Thanks
Reactions: lup
Yani Binafsi Wala Sikumbuki Sijui Ni Lini Mara Ya Mwisho Kuchungulia Kituo Cha Kijinga Kama Kile.
Mkuu umenichekesha mnooooooo...........binafsi nikikumbana na hichi kituo wakati wa kusaka channel za TV hlf remoti ya TV ikakwama kubadilisha channel nadisconnect cable kuepuka kuiangalia sasa huyo anayeuliziwa nimwone saa ngapi?
Ulivyouliza hivi nimeukumbuka ule muswada kandamizi uliotaka kutulazimisha kuangalia hicho KIPEPERUSHI
 
Back
Top Bottom