Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 49,661
- 68,638
Mim huyu kaka aigize sterling ama jambazi napenda tu movie zake,,
Hapa nilipo nimechelewa kwenda sehemu ilianza kuonyeshwa movie yake ya crank kama sikosei hakika huwa hakosei.
Sio kwamba anavutia kivile lakini ni ana sifa za u gentlemen pia hebu cheki hapa