Nampenda mke wangu mtarajiwa (Picha)

Nampenda mke wangu mtarajiwa (Picha)

hongera kwa kupiga hatua kubwa. na sie wengine tukiwa tayari tutasema
 
Inshallah karibuni sasa nitapata MKE wa maisha yangu jana tumekamilisha taratibu za SEND OFF na sasa tunaelekea kwenye harusi. TAKBIIIIR.

mkuu huyu wa picha ya pili gauni la njano maritial stutus yake vp
maana naona kajinyea na mi ndo maradhi yangu hayo nipe utaratibu tafadhali
 
Naomba namba ya huyo aliyevaa njano mgongo wazi
 
6.....JPG


2.%2C.JPG


6....JPG


6.....JPG
 
Dada mbona mzuri ila make up imezidi kaka. Kwenye harusi asizishe kama hivi awe tu natural kiaina. Ni mrembo wala asiogope
 
Huko usoni ni majivu ama. Khaaa

Hongera sanaa ndugu mwandishi.
 
Hongera,Mkeo mlimbwende lakini hizo makeup duh…kwanza foundation/poda haiendani na ngozi yake.Yaani wamemuharibu wallah!!

Ningekuwa mimi ningemwambia akanawe, halafu vinywaji mbona vyote ni vya under 18? Ni ubaguzi huu.
 
Huyu ni dadake dayamondi au? Maana wamefanana sana sehemu ya kulia chakula
 
Mzuie kujichubua shemu basi.Na wewe nawe kama limbukeni utamuanikaje mkeo kwenye mitandao ya kijamii? Inaelekea una hali ya ki TOTO bado hukutosha kuoa.Nasema hivyo kwa sababu anaweza akapatikana mtu ambae alishawahi kumpiga Pu.mbu akamtaja na jina na mahali anapokaa ukasitisha harakati za ndoa.

hakukwambia kuwa kamkuta bikra ama vipi, na kupata demu bikra sahivi utasubiri sana au uende wodi ya wazazi wanaojifungua uwahi ku'order?
 
Huyo Dada wa pembeni hilo inye hadi nimedindisha
 
Inshallah karibuni sasa nitapata MKE wa maisha yangu jana tumekamilisha taratibu za SEND OFF na sasa tunaelekea kwenye harusi. TAKBIIIIR.


Pongezi.
Huyo msaidizi alievaa gauni la njanoo.
Ameteka attention ya picha.
 
hongereni sana, BUT makeup hazijamkaa vizuri, aliyempaka nadhani ndo alikuwa anajifunza
 
Back
Top Bottom