Nampenda mke wa mtu ila nami nina mke na watoto!

Ni lust but not love
 


TAFUTA KIKOPO CHA VASELLINE UWE UNATEMBEA NACHO. UTAKUJA NISHUKURU SIKU MOJA.
 
Umerogwa sio bure
 
ni mimi akili zangu hazifanyi kazi au? yaani mwanamke yupo tayari kumuacha mumewe ili muoane na ww unakubali😂😂😂😂 alafu ukishaiacha familia yako ataenda kuliwa kama ulivyomla..... ni mtoto tu ndie anaweza fikiri huu ujinga mtu aliekomaa kimaisha kamwe hawezi waza ungese kama huu angalia umempataje ili ujue unaishije naye usiwe kenge dogo janja
 
nimekusoma,sasa nakuuliza vipi huyo hawara yako ambae ni mke wa mtu na yeye pia hampendi mumewe?
kama hampendi jibu rahisi itisheni kikao na wake zenu,yaani wewe na huyo mume wa mke unayemla na mbadilishane wake kwa amani na furaha,game over
 
Tatizo uliingia kwenye Ndoa na mtu usiyempenda kweli na yeye kuwa mahaba au hatoshi kwenye kilindi Cha Mapenzi yako.

Ukavumilia kwa sababu ya watoto, pressure ya wazazi, utaonekanaje na marafiki n bra bra bra nyingine.

Ukasahau hisia halisi huwa hazifi na hazizikwi, na bahati mbaya hukuwa kiruka mito.

Sasa mkuu hisia zilipoamka sio sehemu sahihi kwa ushauri tu,
Hata akifanikiwa kumuacha mumewe hakufai kabisa.

Jitulize subiri mwanamke sahihi akija, chepuka nae ila usimuache mkeo.

Hivi vitu wengi hawawezi kukuelewa kabisa, kama usivyo eleweka humu na ndio hauwezi eleweka kwenye jamii
 
Hata Mimi siwezi kumuelewa kamwe. Alioaje mtu ambaye hana hisia nae?.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…